Magufuli-tanroads tupieni macho barabara ya masana hosp. Hadi goba!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli-tanroads tupieni macho barabara ya masana hosp. Hadi goba!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sendeu, May 7, 2011.

 1. S

  Sendeu Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF mhe.Magufuli tafadhali sikia kilio chetu sisi wakazi wa Mbezi JUU na Goba, barabara ya kutoka samaki wabichi hadi Goba Mwisho sio barabara ya kupita binadamu wa kawaida ni ya wanyama haifai kuitwa barabara ya jiji la DSM!!
  Tunaomba TANROADS na WIZARA ifanye juhudi za makusudi kuinusuru maana ni kama vile haipitiki kabisa imeharibika kupita kiasi -tunaishi kama vile tuko kisiwani MAFIA na si DSM tena wilaya ya Kinondoni.
  Tunaomba japo tuwekewe kifusi kama mlivyoweka kutoka Kimara Temboni hadi njia panda ya Goba na Madale
  Magufuli imani kubwa bado tunayo kwako na msaada wako ni muhimu kwenye hili tafadhali tupia macho tuwekewe japo KIFUSI ili maisha yetu yaendelee kama kawaida.
  NAWASILISHA.

  ASANTENI
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hiyo barabara mdau soon inawekwa Lami, like three weeks ago wale wenye nyumba kuanzia maeneo ya samaki walikuwa wana complain waliambiwa watabomolewa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara mpaka wakakaa na vikao hukusikia? hiyo road inaenda toboa mbezi mwisho kama sijakosea.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Unauhakika hiyo brbr niya tanroads?, jiridhishe kuwa si ya nyundo kabla huja m-pm Pombe.
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  yap inawekwa lami na fungu lishatengwa kitambo. imepangwa kupunguza kero za foleni dar.
  hivo ondoa hofu itawekwa lami tatizo ni hawa wakaidi waliojenga kando ya barabara
  wakiamua kufungua kesi ya kupinga kubomolewa itakuwa tatizo
  manake mahakama zetu wanajali zaidi sheria ilivo bila kuzingatia
  umuhimu wa hiyo barabara.naimani mambo yatakuwa mswano punde
  we endesha kamkweche kako taratibu huna haja ya kukimbia sana uwapo barabarani kuanzia masana.
   
Loading...