YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Kuna maraisi ambao hujiona kuwa wao tu ndio wanaotakiwa kuongoza kwa miaka eti wao tu ndio wanaweza nchi nzima hakuna mwingine.Kwa hiyo utakuta hawana ukomo wa tawala zao wanaendelea tu.Cha kujifunza toka kwa Magufuli ni kuwa hata nchi hizo wapo akina Magufuli wanaoweza kuwa na mitizamo mipya na utendaji mpya kama hao wakongwe wasiotaka kuachia madaraka wakitoka.Wasiogope kuachia madaraka na kupisha wengine.