Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,804
2,000
Twende na mh Lissu anatosha
Kwa kusema tu ni mengi ameweza ni ushahidi wa ubora wake, tukimpa miaka mingine mitano atatatua hizo changamoto. Zamani ulikuwa ukienda Hospitali kwa kadi ya bima, unawekwa kando ili wahudumiwe wenye cash kwanza. Hata ukihudumiwa ilikuwa unaandikiwa dawa ukanunue,
Saivi huduma za bima ya afya ni bambam. Waelimishe na wengine wasipotoshwe na mabeberu
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,804
2,000
Mnamzungumzia Raisi JPM anayesubiri kuapishwa Kwa mara nyingine mwishoni mwa mwaka huu siyo?

Huyu ni Baadhi ya watu wachache duniani ambao hupatikana Kwa nadra sana! Huyu anapaswa kulazimishwa aongoze nji yetu hata baada ya matakwa ya kikatiba kumlimiti

Atake asitake tutamlazimisha,. Haiwezekani bajameni, ni Uongozi wake tu ambapo Korona Nayo imekubali kuongozwa na JPM, lakini kote huko Corona imekuwa kiongozi wa nji hizo

Ni JPM pekee Hadi barozi wa USA anaweza kuvua barakoa lake mbele yake hata hajaambiwa, inamaana Mabeberu wanaweza kumhoji kama hajakutana nao Tu, wakikutana naye lazima washushe kofia kichwani
Twende zetu na mh Lissu
photo%20266%2012-18-0.jpeg
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
5,395
2,000
Bila jambo kufanyika huwa hakuna malalamiko, malalamiko ni sehemu ya mafanikio.
13. Uhuru na haki ya kutoa maoni upo sana ila tabia za matusi ndizo zimezuiwa kama maadili ya Taifa yalivyo.
12. Malalamiko ya wakulima ni kutokana na ongezeko LA uzalishaji. Tumeshuhudia vyama vya ushirika vimefufuliwa, walanguzi wanaoibia wakulima wamedhibitiwa, Mahindi na mazao mengine Ruksa kuuza popote isipokuwa sio kwa magendo Bali biashara halali.
11. Heshima kimatsifa imepaa, nenda nchi yoyote useme wewe ni mtanzania, utapokewa vizuri. Mipaka ya nchi imedhibitiwa, hakuna chokochoko
10. Mapato ya wachezaji na maslahi yameboreshwa sana, Wachezaji kwenda soka LA kulipwa hakuna figisu tena, Pesa za kuendeleza michazo haziibwi tena na viongozi
9. Zamani mgonjwa mwenye bima ya afya alikuwa anakwepwa hospitalini na angetibiwa dawa angeambiwa akanunue, saivi huduma zipo poa. Unachagua tu ukatibiwe wapi
8. Miundo mbinu kaisimamia tangia akiwa waziri wa ujenzi, miradi mingine kaianzisha mwenyewe mfano SGR, fly over ya Ubungo, Reli ya Moshi n.k. hiyo sio ya JK.
7. Kampuni ya Acasia ilinunuliwa na Barick, na Barick amekubali kulipa fidia, kishamwaga mabilioni, kaachia hisa na faida kwa Taifa, Tafuta taarifa utapata.
6. Uwajibikaji na nidhamu ktk Utumishi wa umma umetejea 100%, Vyeti feki wamefyekwa na mishahara hewa imefyekwa pia katika Taasisi za umma. Huyo Makonda una chuki nae binafsi kutokana na rekodi yake ya utendaji
5. Hakuna kuniendesha tena kihasara kwa mashirika ya umma. NHC, PSSF na TTCL hayawezi kujiendesha kihasara wakati yana miundo mbinu na vitega uchumi vingi. Ulaji ulikuwa mkubwa kupitia posho, vikao, safari na manunuzi. TANAPA, NCCA, KIA, JKNIA, TPDC ni halali kutoa gawio. Financial statement hazioneshi uhalisia wa utajiri wa taasisi maana physical assets hazitunzwi benki
4. Faida ya Taifa kuwa na ndege zake ni nyingi kuliko mapato ya fedha. Faida ya kifedha itachukua muda hadi mtaji urejee. Kuna faida za kiulinzi na usalama, heshima kwa nchi, kukuza utalii, kukuza diplomasia n.k
3. Hakuna serikali iliyotumia wasomi kama hii ya JPM. Wasomi pia hawapaswi kuachwa huru watumiwe na Mabeberu. Msomi asiye mzalendo anaondolewa kupisha wengine kwa maendeleo ya nchi. Vita vya kiuchumi havina lelemama, askari legelege anawekwa kando. Taifa ni muhimi kuliko Asad
2. Watumishi kwenda nje ya nchi wanarubuniwa na mabeberu, wanaficha pesa wanaingia mikataba mibovu na wanatumia pesa za taasisi vibaya.
1. Rais bora hapaswi kuzurura nchi za nje Bali kutumikia umma.
Nimekujibu ili uongoke na kumchagua Rais bora Afrika ili athletes maendeleo
Umeshawai kutoka nje ya nchi???
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,252
2,000
Yaani ni hivi Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu Sisi Ni katika like kundi la waliobomolewa Kimara
1. Kwanza poleni kwa kubomolewa!, pili Rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, aliisha sitisha bomoa bomoa zote, sasa zinatumia human face.
Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza Kigezo Cha "Human Face" He's So Human!
2. Kama mlibomolewa kwa makosa, then usiwe na wasiwasi, wote waliobomolewa kwa makosa, watafidiwa!.
Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.
3. Kwa vile kura ni siri ya mtu, hakuna makubaliano yoyote nani atampigia kura nani!, ila kwa 2020, JPM hana mpinzani wala mshindani!. Ila pia kwenye demokrasia, kujifarahisha kwa kugombea urais, rukhsa
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

P
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
1,593
2,000
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.

Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.

Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.

Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.

Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.

Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO

1. Nchi haiwezi operate ikiwa imeji- isolate
2- Safari zenye tija bado zinahitajika.
3. Mateja bado wapo mtaani hata kwenye daladala utawakuta.
4. ___
5. ___
6. Wasomi wamejazana mitaani ,ajira hakuna.
7. Biashara ya ndege imeshikiliwa na makampuni makubwa kutoboa hapo si leo.Kura kwa JPM
lakini hayo ni baadhi ya madhaifu.
 
Dukani

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,005
2,000
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.

Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.

Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.

Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.

Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.

Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO
Umeandika pumba tupu.
 
Duduvwili

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
1,995
2,000
Pesa za tetemeko, katazame Ukarabati mkubwa uliofanyika Ihungo na Nyakato sekondari.
Zile shule zimekuwa mpya na za kisasa. Kama huamini kazitembelee uone kazi iliyofanyika. Big up JPM
Hiyo nyakato iko wapi mkuu?
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,467
2,000
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.

Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.

Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.

Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.

Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.

Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO
Tatizo la wana ccm. Mnadhani nchi zote za afrika zinawaza kama watanzania.
Nikwambie tu kuna nchi hapa africa zina viongozi hora kuliko hata jpm mwenyewe. Na wananchi wao wanaamini ni bora hapa afrika.
Tanzania inamuhitaji lakin si afrika. Unless umetembea nchi zote za afrika ukauliza au ukafanya research.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom