Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
10,895
2,000
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.

Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.

Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.

Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.

Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.

Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO
Umemaliza kila kitu mkuu,huyu jamaa sioni mfano wake Afrika.Wakati ule ilikuwa ni aibu sana ukifika ughaibuni kujitambulisha kuwa unatoka Tanzania,sasa hivi unazungumza kwa herufi kubwa,"am from Tanzania",kama haelewi unamuuliza "do you know John Pombe Magufuli",utasikia "ok,now i understand,welcome sir"kiujumla we are in another level,huyu jamaa by hooks and crooks lazima tuhakikishe anapita bila kupingwa...
 
jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
3,492
2,000
Kuna hii nimeikuta mahali. Sina uhakika kama ilifanyika Leo lakini ndio haya mambo yanayo mfanya MTU awe wa kimataifa na nchi itambulike na kupata hadhi nje.
Wiki moja tuu ya kuteuliwa na chama chake Afrika nzima imejua mgombea ni nani na kila mmoja anataka kumhoji naye haogopi mahojiano.
Tanzania sasa inarudi kwenye chati, mambo ya kula mahindi barabarani sio issue kabisa. View attachment 1530283
Risasi 16 zimemfanya ajulikane duniani.
Yu sawa na Yesu alikimbilia misri ili kuuwawa na herode, mussa alifichwa asiuwawe na farao, so the same case inajirudia
 
Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
1,528
2,000
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.

Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.

Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.

Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.

Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.

Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO
Yaani ni hivi Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!

Sisi Ni katika like kundi la waliobomolewa Kimara pamoja na sisi tulio fukuzwa kazi kwa madai ya vyeti feki

Ni mwendo wa kisu kuchinja tu Mxieussszzzx shubaamit
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
879
1,000
Ni kweli vp kuhusu maslahi ya wafanyakazi
Maslahi yapi ya wafanyakazi?.
1. Kodi imepunguzwa hivyo take home ya mshahara kuongezeka, hiyo ni zaidi ya annual increment
2. Mishahara inalipwa kwa wakati
3. Nauli za likizo zinalipwa kwa wakati
4. Hadhi ya Utumishi wa umma imerejeshwa
5. Unyanyasaji wa watumishi, ubaguzi na upendeleo vimekomeshwa
6. Nidhamu kwa watumishi na mazingira ya kazi vimeboreshwa
7. Riba ya mikopo imeshushwa
8. Huduma bora za bima ya afya kwa watumishi wa kada zote, hakuna ubaguzi wala matabaka
Kura yako MPE JPM kwa maendeleo ya Utumishi wa umma
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
879
1,000
Yaani ni hivi Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!

Sisi Ni katika like kundi la waliobomolewa Kimara pamoja na sisi tulio fukuzwa kazi kwa madai ya vyeti feki

Ni mwendo wa kisu kuchinja tu Mxieussszzzx shubaamit
Sasa kama una vyeti feki alaf ukajenga kwenye road reserve, ulitaka upandishwe cheo?.
Unapaswa umshukuru JPM kwa kukuacha Uraiani hadi sasa, ungefia jela
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
879
1,000
Umemaliza kila kitu mkuu,huyu jamaa sioni mfano wake Afrika.Wakati ule ilikuwa ni aibu sana ukifika ughaibuni kujitambulisha kuwa unatoka Tanzania,sasa hivi unazungumza kwa herufi kubwa,"am from Tanzania",kama haelewi unamuuliza "do you know John Pombe Magufuli",utasikia "ok,now i understand,welcome sir"kiujumla we are in another level,huyu jamaa by hooks and crooks lazima tuhakikishe anapita bila kupingwa...
Kuna watu wagumu kuelewa, Dunia nzima inatetemeka kusikia jina JPM, Mwamba wa Afrika, Beberu hana chake
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
879
1,000
Ni kweli vp kuhusu maslahi ya wafanyakazi
Maisha ya wafanyakazi yamekuwa bora kuliko awamu zilizopita, Mfumuko wa bei upo chini, Kodi imeshushwa na kuongeza take home, mikopo imeboreshwa, Huduma za afya kwa watumishi imeboreshwa kupitia NHIF, Hadhi ya Utumishi wa umma, juuu
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
3,915
2,000
Mkuu ukiniita MATAGA unanikosea heshima japo hatujuani.
Anyway unayo haki kuita yeyote jina lolote lakini hakikisha hauvunji sheria, haukandamizi haki ya huyo mtu.
Kwa hapa umekandamiza haki yangu.
Mmenajisi wimbo wa Taifa halafu mnajinasibu kushinda uchaguzi.Labda niwafahamishe matokeo ya uchaguzi mwaka huu, ni John Pombe Joseph Magufuli 95%.Hiii ni chungu kusikia lakini ndiyo ukweli.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,944
2,000
Mmenajisi wimbo wa Taifa halafu mnajinasibu kushinda uchaguzi.Labda niwafahamishe matokeo ya uchaguzi mwaka huu, ni John Pombe Joseph Magufuli 95%.Hiii ni chungu kusikia lakini ndiyo ukweli.
Mkuu ulikusudia kunitumia mimi hii post au ulikosea?
Mimi nipo na JPM popote alipo kisiasa.
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
879
1,000
Mleta mada usitufanye wote wapuuzi humu

1. Yani kwa akili yako sifa ya Raisi ni Mtu ambaye haendi Ulaya na America????

2. Kwa akili yako unafikiri mtumishi akisafiri nje ya nchi ndo hatumikii wananchi??? Unajua Safari za nje ya nchi zinakuwaga za aina gani na malengo gani??? Au unafikiri watu wanaenda vacation tu???

3. Nani kakwambia magufuli anatumia wasomi kwa maendeleo ya nchi??? Anawaburuza wasomi au anawatumia kwa maendeleo ya nchi??? Unajua Msomi Prof Assad alifanywa nini na huyo Magufuli???

4. Unasema kafufua shirika la ndege kwa kununua ndege! Labda nikuulize unajua financial statements za Air Tanzania wewe??? Unajua mchakato wa kuuziana izo ndege ukoje???

5. Hivi unajua hali za kifedha za hayo mashirika yanayotoa gawio??? Nakushauri nenda kafuatilie financial statements za ttcl uone kama linajiendesha kwa faida, fuatilia hayo mashirika mengine kama national housing , ppf, nsssf kama yanajiendesha kwa faida??

6.Unazungumzia uwajibikaji gani wa viongozi wa umma??? Makonda alikutwa na vyeti feki alimwajibisha????

7. Tuliambiwa tunawadai acasa trillion 490???? Unajua zilipotelea wapi??? Uliwai kuhoji???

8.Ni miundombinu gani ya ameboresha yeye?? Hujui kuwa asilimia 95 zilikuwa project za JK. Au unasema uwanja wa kijijini kwake Chatto ambao hata zabuni yake hatuijui???

9. Bima ya afya gani ameboresha wakati kapunguza hadi magonjwa ya kuhudumiwa na Bima???

10. wachezaji gani wananufaika??? Hujui hata Ligi kuu kuna wachezaji hawalipwi mishahara miezi na miezi????

11.Heshima gani ya Tanzania imerejea?? Kuwa na Urafiki na wafu Burundi na Zimbabwe au????

12. Kilimo gani kimeimarishwa??? Hujasikia malalamiko ya wakulima wa Korosho, Mbaazi, Tumbaku na Mahindi??? Au unaishi Misri????

13. Imani gani ya wananchi imeongezeka??? Au watu wamenyimwa uhuru wa kutoa mawazo yao kutokana na kubambikiwa makesi, kupigwa risasi na kupotezwa pale wakitoa mawazo yao huru???

Kajipange upya kilaza wa Lumumba wewe!!!
Bila jambo kufanyika huwa hakuna malalamiko, malalamiko ni sehemu ya mafanikio.
13. Uhuru na haki ya kutoa maoni upo sana ila tabia za matusi ndizo zimezuiwa kama maadili ya Taifa yalivyo.
12. Malalamiko ya wakulima ni kutokana na ongezeko LA uzalishaji. Tumeshuhudia vyama vya ushirika vimefufuliwa, walanguzi wanaoibia wakulima wamedhibitiwa, Mahindi na mazao mengine Ruksa kuuza popote isipokuwa sio kwa magendo Bali biashara halali.
11. Heshima kimatsifa imepaa, nenda nchi yoyote useme wewe ni mtanzania, utapokewa vizuri. Mipaka ya nchi imedhibitiwa, hakuna chokochoko
10. Mapato ya wachezaji na maslahi yameboreshwa sana, Wachezaji kwenda soka LA kulipwa hakuna figisu tena, Pesa za kuendeleza michazo haziibwi tena na viongozi
9. Zamani mgonjwa mwenye bima ya afya alikuwa anakwepwa hospitalini na angetibiwa dawa angeambiwa akanunue, saivi huduma zipo poa. Unachagua tu ukatibiwe wapi
8. Miundo mbinu kaisimamia tangia akiwa waziri wa ujenzi, miradi mingine kaianzisha mwenyewe mfano SGR, fly over ya Ubungo, Reli ya Moshi n.k. hiyo sio ya JK.
7. Kampuni ya Acasia ilinunuliwa na Barick, na Barick amekubali kulipa fidia, kishamwaga mabilioni, kaachia hisa na faida kwa Taifa, Tafuta taarifa utapata.
6. Uwajibikaji na nidhamu ktk Utumishi wa umma umetejea 100%, Vyeti feki wamefyekwa na mishahara hewa imefyekwa pia katika Taasisi za umma. Huyo Makonda una chuki nae binafsi kutokana na rekodi yake ya utendaji
5. Hakuna kuniendesha tena kihasara kwa mashirika ya umma. NHC, PSSF na TTCL hayawezi kujiendesha kihasara wakati yana miundo mbinu na vitega uchumi vingi. Ulaji ulikuwa mkubwa kupitia posho, vikao, safari na manunuzi. TANAPA, NCCA, KIA, JKNIA, TPDC ni halali kutoa gawio. Financial statement hazioneshi uhalisia wa utajiri wa taasisi maana physical assets hazitunzwi benki
4. Faida ya Taifa kuwa na ndege zake ni nyingi kuliko mapato ya fedha. Faida ya kifedha itachukua muda hadi mtaji urejee. Kuna faida za kiulinzi na usalama, heshima kwa nchi, kukuza utalii, kukuza diplomasia n.k
3. Hakuna serikali iliyotumia wasomi kama hii ya JPM. Wasomi pia hawapaswi kuachwa huru watumiwe na Mabeberu. Msomi asiye mzalendo anaondolewa kupisha wengine kwa maendeleo ya nchi. Vita vya kiuchumi havina lelemama, askari legelege anawekwa kando. Taifa ni muhimi kuliko Asad
2. Watumishi kwenda nje ya nchi wanarubuniwa na mabeberu, wanaficha pesa wanaingia mikataba mibovu na wanatumia pesa za taasisi vibaya.
1. Rais bora hapaswi kuzurura nchi za nje Bali kutumikia umma.
Nimekujibu ili uongoke na kumchagua Rais bora Afrika ili athletes maendeleo
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,840
2,000
Hakika kupenda ni ugonjwa
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.

Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.

Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.

Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.

Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.

Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom