Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Haàhaaaaa sio chuki ya uislamu tena maana ww ni iislamu na ccm tu kichwani mwako.pole so unataka kutuaminisha kuwa alichosema magufuli ni sahihi wala hakukosea? Duuh kweli kichwa kimeishiwa ubongo.

Sina haja ya kukuaminisha, nnakupa darsa. Nnauhakika hata ulikuwa hujui kuwa Saddam alishaiteka Kuwait na kuibadilisha jina akaiita "kadhima" na kuitawala.
 
Moja kati ya maswali muhimu ambayo wagombea wa Urais duniani kote wamekuwa wakiulizwa ni kuhusu; sera za kimataifa "foreign policy".

Rais anabidi ajue mambo ya nje na ndani ya nchi yake ili aweze kujua athari nchi yake inaweza kukumbana nazo kutokana na sera hizo za kimataifa.

Kwa JPM ameonesha kwamba,

1.Hamjui Saddam. Hili lipo wazi.
2.Haijui nchi ya Kuwait.
3.Haijui Iraq
4.Haijui vita ya Iraq vs USA

Hii ni hatari sana kwa dunia ya leo.

Inaonyesha hata TV hana kwake, na kama anayo ni pambo tu, vita vya Iraq miaka nenda rudi hadi leo hii hajui sadam wapi anatoka? Poor him
 
Mtu huyu anatka kuwa rais wa nchi huku hafuatilii yanyoendelea duniani!
 
para ya Kwanza; naomba ninukuu" Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. walimwondoa madarakani rais Saddam , hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait"
Unajua kwenye kampaine inatakiwa mbinu mbali mbali kujitangaza. Ili uweze kujitangaza kirahisi kwenye media basi wewe andaa habari. Uzuri kwenye media kile wanaita habari ni sawa na kusema "...sungura kamtimua mbio mbwa tena mbwa aina ya germany shepherd..."! Hii ndiyo itachukua kurasa zote za magazeti na taarifa za prime time! Ndiyo udhaifu wa media. Dr. Magufuli aligundua udhaifu huo. Akautumia barabara...! Watu wa media wakamtangaza sawasawa...akapata kura za kutosha. Sasa ndiye rais wetu.

Ongeza lingine. Majibu unayapata hapa hapa.
 
Wew chizi kweli, yani wataka kusema jiwe anaweza kuwa na mbinu kiasi hicho? Bush boy kumbuka
Unajua kwenye kampaine inatakiwa mbinu mbali mbali kujitangaza. Ili uweze kujitangaza kirahisi kwenye media basi wewe andaa habari. Uzuri kwenye media kile wanaita habari ni sawa na kusema "...sungura kamtimua mbio mbwa tena mbwa aina ya germany shepherd..."! Hii ndiyo itachukua kurasa zote za magazeti na taarifa za prime time! Ndiyo udhaifu wa media. Dr. Magufuli aligundua udhaifu huo. Akautumia barabara...! Watu wa media wakamtangaza sawasawa...akapata kura za kutosha. Sasa ndiye rais wetu.

Ongeza lingine. Majibu unayapata hapa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema kura za kutosha unathibitisha ni jinsi gani system inaweza ku-brain-wash watu wenye fikra ndogo!
Kusema kuwa ndiye rais kwa sasa sikatai...
Lakini kwamba ndiye alipata kura nyingi kwenye ule uchaguzi sikubali...!! Ni wajibu na jukumu langu kufikiria zaidi ya ninayoambiwa, kusoma na kusikia!
 
Back
Top Bottom