Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

Bwana mdogo, uelewa wako ni mdogo mno kwenye mada Kama hii,
Walimu huajiriwa na Kampuni gani Kama siyo serikali?
Elewa maudhui ya mada ,National Airline ni serikali kufanya Biashara jambo ambalo ni la hovyo kabisa.
Kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kusimamia uchumi kupitia Central Bank na Treasury.
Pesa za serikali ni kwa ajili ya Elimu, Afya na infrastructures.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kila nchi Dunia hii ina ,,key industries“ zake ambazo kama ikibidi Serikali hutumia kodi za Wananchi kuzilinda, na hiyo ni Dunia nzima, isitoshe kwenye post yako haujaonglea Walimu bali umesema Serikali haitoi ajira.
 
Katiba ya nchi unaijua? Uraisi mwisho miaka mitano na option ya kugombea muhula mwingine wa miaka mitano. Magufuli amesha ongoza mitano hata akigombea tena hataweza kuwa raisi zaidi ya 2025. Kwanza mwaka huu hakuna anaemchagua. He's doomed like Trump.
Usisema mwaka huu hakuna atakaemchagua. Sema mwaka huu wewe hutamchagua. Mimi ni miongoni mwa wa2 watakaomchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimisheni wananzengo wapige kura ya hapana,kwanza Magufuli huwa analalamika Urais mgumu,angelijua asingechukua form.
Ila ndo mjue wanasiasa ni wanafki,atagombea tena 2020.
Mimi nilichomkubali Magufuli ni kutumia findings za mwaka 1970 kwenye mradi wa Stiglers. Yani amekopi na kupesti kiulaini kabisa.

Any way niliwahi kuambiwa na mzee kuwa enzi hizo mwaka 1970 alikuwa akilima maharage anapata gunia 50 kidogo ila siku hizi hata gunia tano mtu unazisotea balaa. Sasa huyu Magufuli sijui aliwaza nini ku copy and paste?
 
Nimesoma bandiko lako mleta mada, labda huifahamu China vizuri, China ni nchi inayokiuka haki za binadamu kupita maelezo. Walichofanikiwa wa China ni kuwajibisha viongozi wao. Kiongozi mbadhirifu China hukumu yake ni kifo kama si kifungo cha maisha.

Ukifungwa kifungo cha maisha China ni sawa na hukumu ya kifo. Haki za binanadamu haziheshimiwi, kuna documentary zinoaonyesha organs za wafungwa wa maisha huuzwa kwa raia wa Magharibi na pesa inaingia serikalini.
 
Kila nchi Dunia hii ina ,,key industries“ zake ambazo kama ikibidi Serikali hutumia kodi za Wananchi kuzilinda, na hiyo ni Dunia nzima, isitoshe kwenye post yako haujaonglea Walimu bali umesema Serikali haitoi ajira.
Kwani Wafanyakazi wa serikali ni walimu tu?
Vp kuhusu sector nyingine? Pote hajaajiri, anaajiri TISS, JESHI, na Police ili kumlinda na hii ni kanuni ya Madikteta pote Duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehee...JPM makes you see the fire like Richard Pryor. JPM amekata govt spending zisizo na maana: mfano utaongezaje mishahara wakati overall productivity haiendi juu?
Cheki team kushangilia walivyo matope. Leo nimeona Lemutuz anampongeza Magufuli kwa Samatta kuingia EPL
Screenshot_20200117-102026_Instagram.jpg
 
Hiyo China mnayojifanya wana CCM kuiiga, ina mfumo imara wa haki kwa watu wote chini ya Chama kimoja siyo nyie mnaolindana kwa kuitafuna nchi .
Hapo kidogo umeniacha njia panda! China iwe na haki kwa wote. nadhani China inaongoza kwa human rights abuse! Am I right?
Mengine uliyosema ni 100% correct! safi sana, a good narration!
 
111 Reactions
Reply
Back
Top Bottom