Magufuli piga kazi!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
18,173
13,776
Kama si juhudi binafsi za Mh Dr Magufuli, miradi mingu ya maendeleo ingekuwa ndoto za mchana au Tanzania kuingizwa mkenge kiaina.

Flyover ya TAZARA si wengi wanaofahamu kuwa imesuasua kwa karibu miaka sita!
Interchange ya Ubungo imekuja ghafla bin vuu!

Ujenzi wa reli SGR umeanza, tena kwa gharama nafuu kuliko wenzetu majirani, Kenya.

Sijui watanzania mgetaka vipi tena!

Magufuli, piga kazi mwanawane!
 
Magu Oyee. Acha na na hao wasanii wanaolalamika kukicha walizoea kupiga pesa za walipa kodi sasa zimeisha mitaani.
 
Back
Top Bottom