Magufuli Ongeza kasi -Mapato ya Ngorongoro yaongezeka maradufu!

Acheni roho ya kwa nini....mbona airports zimejengwa songwe, Arusha, Kilimanjaro nk..mbona hampigi makelele? Jamani in vema mkate wa taifa ugawanywe kwa haki. Kwani Chato watu hawalipi kodi?
Wakati Airport za Arusha,Kia,Dar zinajengwa hatukusikia kilio ila sasa kila kelele itapigwa
 
I wish basi serikali ingekuwa inatambua juhudi binafsi za Wamasai na makabila mengine yanayoishi ndani ya NCAA, kati ya hizo bil. 102 ni 3 au 4 zinaelekezwa katika chombo ambacho kinashughulikia interest za wenyeji, NPC (Ngorongoro Pastoralist Council).. Hawa ni wahifadhi wa asili ambao bila ya wao Ngorongoro ingekuwa Poaching Post hawali nyama pori wala kuvuna miti ikiwa mibichi.. Still bado mila na desturi zao wanapreserve na serikali inafaidi kupitia hayo.
mchango wanautoa kwa uhifadhi haufanani kabisa na serikali inachorudisha. Kila siku ni Eviction stories, food shortage na poor healthcare.... Mpaka wanafikia hatua ya kuwaambia wamekuwa tishio kwa uhifadhi.
Lakini kilio cha mnyonge kina mwisho, NEXT TIME WATAOMBA KURA KWA WANYAMAPORI NA MITI.....poor politicians.
 
Tanzania Directly tumefaidi idadi kubwa yaUtalii kutokana na uchaguzi wa Kenya....
 
Usije ukawa unatetea wale wamasai kutoka Kenya wanaosumbua Serikali
 
Tanzania Directly tumefaidi idadi kubwa yaUtalii kutokana na uchaguzi wa Kenya....
Kwani ni dhambi?

Je ni mara ya kwanza kwa uchaguzi kufanyika Kenya?

Ina maana hata utendaji katika mageti ya Ngorongoro umekuja kutokana na uchaguzi nchini Kenya?

Acha wivu mkuu...sifia panapostahili kosoa panapohitajika
 
mapato yanaongezeka mbona uchumi unashuka? mbona wafanyakazi maslahi yanamedumaa? mbona wanafunzi wamekosa mikopo ya elimu ya juu? pato la mwananchi mmoja mmoja ndio kwisha kabisa wananchi wana hali ngumu kuliko wakati wowote tangu tupate uhuru. Wafanyabiashara wanalia hali ya biashara imekuwa ngumu TRA wanataka kodi tu.

Kwakifupi haina maana kusema Ngorongoro wameongeza mapato wakati hali inazidi kuwa mbaya.
TAKWIMU ZAKO ZA UCHUMI UMESHUKA UMEZITOA WAPI MKUU? NAJUA HUWEZI ONGEA TU KWA HISIA ,NADHANI KUNA DATA UMEZITOA KWENYE CRDIBLE SOURCE ,NAOMBA LINK MKUU?
 
mapato yanaongezeka mbona uchumi unashuka? mbona wafanyakazi maslahi yanamedumaa? mbona wanafunzi wamekosa mikopo ya elimu ya juu? pato la mwananchi mmoja mmoja ndio kwisha kabisa wananchi wana hali ngumu kuliko wakati wowote tangu tupate uhuru. Wafanyabiashara wanalia hali ya biashara imekuwa ngumu TRA wanataka kodi tu.

Kwakifupi haina maana kusema Ngorongoro wameongeza mapato wakati hali inazidi kuwa mbaya.
Wewe umezaliwa mwaka gani? Anasema wananchi sasa hivi wana hali ngumu kupita kipindi chote toka tupate Uhuru? Kama hujui historia uliza kabla haujaandika unajua watu tulisafiri siku nne dar to Mwanza umesimama umeshika chuma? Unajua tulikuwa tunshona vilaka Vya suruali? Unajua kununua ndala Mpya ulikuwa inaonekana tajiri? Unajua hata soda tulikuwa tunakunywa sikukuu tu? Unajua watu tulienda peku shule? Kama hukuwepo miaka ya 70 mpaka 80 bora tukae kimya
 
Mheshimiwa Rais I salute you!!
[HASHTAG]#Hapakazitu[/HASHTAG]!

Naam ni wiki ya neema tupu nchini yaani kila sekta unasikia mafanikio tu yaani unasikia makeke ya awamu ya Tano.

Nasikiliza Taarifa ya habari hapa Channel ten namuona mkuu wa mamlaka ya Ngorongoro akielezea ongezeko la mapato ya utalii kutoka bilioni 60 hivi kwa mwaka 14/16 hadi kufikia bilioni 102 mwaka 16/17.

Kwa upande mwingine wadau wa utalii wakiwemo tour guides na wageni kutoka nje wamesifia efficiency ya utendaji katika geti la Ngorongoro.

My Take:
Mh Rais endelea kubonyeza zaidi hawa mafisadi na wajanjawajanja wachache wapotee kabisa.

Nchi ya Maziwa na Asali iko karibu sana!
Faru John vipi? Mbona kimya au ndio mihemko?
 
Bodi ya ngorongoro Ni magamba matupu nyie ndio wezi.
 
Back
Top Bottom