Sawa elimu na ujauzito haviendi sambamba
Lakini hizo mimba wanapewa na wanaume ambao wako huru kuendelea na shule, kuwakataza wasiendelee na masomo sio suluhisho. You don't burn a house to kill a rat.Ikiruhusiwa hawa watoto watazaa mpaka tutaanza kufikiria kuwa na kliniki hapo shuleni. Hawa watoto wanapenda sana tamthiria na nyimbo za mapenzi vichwa vyao vimejaa makopa makopa. Huwezi ona vijana wa sasa wanaimba nyimbo za Bob Marley au Lucky Dube au Burning Spear. Lazima tutegemee wazazi wengi tu mashuleni..
Probably he was kidding, we are waiting for clarifications from the Minister responsible with this area. Magufuli once said people need to have more and more children, and cemented the statement by promising free elementary and secondary education to all citizens, but few days later Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children clarified that the President's statement should be ignored.I believe He meant free education ( Paid by Government).... If their parents or Husbands can afford then it will be no problem...they can go ahead...
Ukimpa mimba mtoto wa shule ni miaka 30 mkuu!Lakini hizo mimba wanapewa na wanaume ambao wako huru kuendelea na shule, kuwakataza wasiendelee na masomo sio suluhisho. You don't burn a house to kill a rat.
Does't make sense, na wale wanaume wanao pachikana mimba wakiwa shule je? Hapo Rais amenoa kabisa.
Wanaume wanao pachikana mimba ? Ndio nasikia Leo!!!!Does't make sense, na wale wanaume wanao pachikana mimba wakiwa shule je? Hapo Rais amenoa kabisa.
Miaka 30 inawahusuDoes't make sense, na wale wanaume wanao pachikana mimba wakiwa shule je? Hapo Rais amenoa kabisa.
30 yrs in prison, uwe mwanafunzi au mzee.Does't make sense, na wale wanaume wanao pachikana mimba wakiwa shule je? Hapo Rais amenoa kabisa.
Let's assume both are teenagers and still in school, so no school for the girl and 30 years in prison for the boy. Seriously!!! Sometimes it's all about poor parenting. You people are just messing up thinking you are punishing the NGO'S but it's the world that changed and magu doesn't know the techniques to curb such vices.30 yrs in prison, uwe mwanafunzi au mzee.