Magufuli: No more education for girls who fall pregnant while at school.

ojey

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
1,148
2,000

Tanzania president H.E John Magufuli says we will not allow girls who fall pregnant while still at school to continue with their education.
 

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
9,472
2,000
Ikiruhusiwa hawa watoto watazaa mpaka tutaanza kufikiria kuwa na kliniki hapo shuleni. Hawa watoto wanapenda sana tamthiria na nyimbo za mapenzi vichwa vyao vimejaa makopa makopa. Huwezi ona vijana wa sasa wanaimba nyimbo za Bob Marley au Lucky Dube au Burning Spear. Lazima tutegemee wazazi wengi tu mashuleni..
 

ojey

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
1,148
2,000
Ikiruhusiwa hawa watoto watazaa mpaka tutaanza kufikiria kuwa na kliniki hapo shuleni. Hawa watoto wanapenda sana tamthiria na nyimbo za mapenzi vichwa vyao vimejaa makopa makopa. Huwezi ona vijana wa sasa wanaimba nyimbo za Bob Marley au Lucky Dube au Burning Spear. Lazima tutegemee wazazi wengi tu mashuleni..
Lakini hizo mimba wanapewa na wanaume ambao wako huru kuendelea na shule, kuwakataza wasiendelee na masomo sio suluhisho. You don't burn a house to kill a rat.
 

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,171
2,000
I believe He meant free education ( Paid by Government).... If their parents or Husbands can afford then it will be no problem...they can go ahead...
Probably he was kidding, we are waiting for clarifications from the Minister responsible with this area. Magufuli once said people need to have more and more children, and cemented the statement by promising free elementary and secondary education to all citizens, but few days later Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children clarified that the President's statement should be ignored.
 

Elninho Elninho

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
544
500
Does't make sense, na wale wanaume wanao pachikana mimba wakiwa shule je? Hapo Rais amenoa kabisa.
Amesema baba jela akalime na mama akae kulea mwanae...for government schools.Ndio maana akaweka exclusion private kasome.Mnashadadia ukiukwaji wa maadili..kwa nini hii nguvu msiitumie kwenye kuzuia huo upatikanaji wa mimba na si kutetea wazazi wasomeshwe bure?!??Hamna sheria inayotetea uzinzi au ufuska unaofanywa na mwanafunzi.
 

ojey

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
1,148
2,000
30 yrs in prison, uwe mwanafunzi au mzee.
Let's assume both are teenagers and still in school, so no school for the girl and 30 years in prison for the boy. Seriously!!! Sometimes it's all about poor parenting. You people are just messing up thinking you are punishing the NGO'S but it's the world that changed and magu doesn't know the techniques to curb such vices.
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,808
2,000
Busara itumike, hii sio sawa kabisa, kumkatia mtu elimu ni jambo mbaya sana, mwache alee mwanaye na aendelee kupata elimu kwa ajili ya maisha yake ya kesho.
La sivyo mtaendelea kujawa na vilaza kwenye jamii, watu wasiojua kusoma au kuandika kisa walitupwa nje wakiwa wadogo baada ya kupata mimba, kumbuka mnamfunga mvulana miaka 30, hivyo mvulana pamoja na msichana watakua wanaongeza idadi ya mazezeta kwenye nchi yenu.

Ni kawaida mtu kujikwaa kwenye jamii, lakini unapoanguka unafaa kunyanyuka na kuendelea, hata huyo rais wenu Magufuli kabla awe rais, na kabla hata afikie chuoni, nina uhakika ana makosa mengi lazima aliyafanya akiwa kijana lakini hakukata tamaa, sasa leo iweje yeye awahukumu vijana kihivi.

Maisha ni safari, tunakwenda tu kwa hali zote, kwa masumbuko, kwa mahangaiko na kubanana hadi tufike.
 

Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,117
2,000
The Tz govt should think thru this decision mazee. My heart is really crying out for those children and parents, the poor parents who cannot afford the private schools who have found themselves in this situation.

Jailing a schoolboy, an underage for 30yrs, just for impregnating a schoolgirl in what was a consensual hunky punky seems very punitive to me, I wonder if it is even consistent with the current Tanzanian laws, and definately it is not in tandem with the international laws protecting children.

They ought to be given a second chance at education. Many have talents and potential to add value to the Tanzanian society. How will the young lady raise her child without a good education to afford her a good job, and her child's father languishing in jail for 30odd years. Condemning this young lady and her baby to a life of penury; it is very unjust, inhumane.

And what if tge girl concieved her baby thru rape? It is so unfair.

I was I could tell Magu right on his face how stupid and unnecessary this law is.
 

Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
6,228
2,000
Nashukuru Kenya upuzi kama huu hauwezi fanyika. Uhuru akifanya hivi kesho yake ana aibishwa na Mahakama ata hataamini! Ati magi's decision is final? Whaat!? Who died and made him a god????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom