Elections 2015 Magufuli: Nitawabeba Wafanyabiashara waliyonisapoti kwenye Kampeni, mfano Diallo

Tatizo sio kuwabeba au kutowabeba,issue ni kwamba hizo si aina ya kauli ya kuongea jukwaani,Magufuli ni tofauti na lowassa,Jamaa ni mropokaji while Mamvi si mropokaji ni yule wa Straight to the point.kuna terms nyingine wasomi ndo wanaelewa huwezi kwenda vijijini huko ukaanza kuwaambia watu "sijui megawatt zimefanya hivi mara mkondo wa umeme vile" wakakuelewa wao wanataka uwaambie umeme/huduma zingine zinapatikana lini basi.
 
Hii kauli aliitoa Dr. JP Magufuli alipokuwa kwenye Jukwaa la kampeni huko Geita

Sasa, nauliza atawabeba vipi hao wafanyabiashara kama Diallo?

Au watapewa Msamaha wa Kodi?

Kama Mgombea Urais anatuaminisha vipi kwamba atatusaidia maskini?

Au through kuwabeba matajiri waliyomsaidia kwenye kampeni, na sisi maskini tutafaidika?

Hizi Kauli zingine kama Mgombea Uraisi siyo za kuongea Jukwaani

Anasema atafungua mahakama ya kuyashughurikia mafisadi sasa hayo mafisadi yanayokibeba chama nayo atayafungaje uku anasema kila anayemsaidia atam'beba
 
Magufuli amesema wazi wazi atakuwa rafiki wa wawekezaji wakubwa na wadogo@wanje na wa ndani.
UKAWA ingefafanua ahadi yake ya kutoa Walawiti jela

Hii kauli aliitoa Dr. JP Magufuli alipokuwa kwenye Jukwaa la kampeni huko Geita

Sasa, nauliza atawabeba vipi hao wafanyabiashara kama Diallo?

Au watapewa Msamaha wa Kodi?

Kama Mgombea Urais anatuaminisha vipi kwamba atatusaidia maskini?

Au through kuwabeba matajiri waliyomsaidia kwenye kampeni, na sisi maskini tutafaidika?

Hizi Kauli zingine kama Mgombea Uraisi siyo za kuongea Jukwaani
 
Mimi naona alichomaanisha ni kwamba atawabeba kwa kuleta mazingira mazuri ya kibiashara, inaweza ikamaanisha pia kwamba hatawa angusha... Tukumbuke kauli ziko nyingi wakati wa kampeni, zikilenga vikundi mbalimbali pia..

Mimi binafsi, kwa bahati mbaya sana tena sana, sioni mgombea aliyejitokeza mara hii ambaye anaweza kutuongoza na akatuvusha hili lidaraja iliyokabiliwa na matatizo yote tulilonalo na matarajio ama matumaini tulilonalo pia...

Kilicho nishangaza kweli kweli ni ule uwazi wa ccm kuleta nyimbo ya kampeni ambaye inadhihirisha kwamba madhumuni yao ni ILE ILE...
 
Back
Top Bottom