Magufuli: Nitahakikisha madini yanayokwenda nje yanajulikana

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Hiyo ni ahadi ya mgombea uraisi kwa ticket ya CCM bila shaka akimanisha madini yanatoroshwa kwenda nje ya nchi!

Pia amegusia makampumi ya madini kulipa kodi inayostahili.

Kauli hizi,kwa mtazamo wangu,ni uthibitisho kuwa madini yetu yanatoroshwa na wawekezaji!

Pitia hapa kwa taarifa zaidi: Jambo Leo | Sauti ya Jamii
 
Magufuli anaongea kama mpinzani, ni nani aliachia watu waibe madini..?!
 
Back
Top Bottom