Magufuli: Nilipokuwa chuo kikuu nilikuwa nawachukia wanasiasa

esitena tetena

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
1,747
1,082
Rais Magufuli amesema yeye sio mwanasiasa na alikuwa anawachukia wanasiasa tokea akiwa chuo kikuu amesema hayo leo Dodoma akipokea taarifa ya uhakiki wa vyeti.

My take: Mbona amekubali kuwa Mwenyekiti wa taifa wa CCM ambacho ni chama cha siasa?
 
Ndivyo ulivyomwelewa! Kweli Akili ni nywele kila mtu ana zake, kama hujabaini falsafa iliyo katika maneno yake.

Kwa kifupi yeye siyo mwanasiasa wa aina ambayo wanasiasa wa nchi wameiishi: ya maneno, ulaghai na ufitinishaji.
 
Hivi uyu jamaa uwa anafikiria anachoongea.... Kwaio anajichukia mwenyew au yy sio mwanasiasa aiseee huyu jamaa jaman enyway akili zake anazjua mwenyew
 
Hebu atupishe hapa! Huko kwenye siasa anafanya nini? Eti siyo mwanasiasa? Hakili zingine matope kabisa!
 
Siasa iko kila mahali. Yeye anasema hivyo... ili na hao wanafunzi waachane na siasa (which is a good thing) but in reality... it is impossible.
 
Taifa hili laana ya ufisadi inatutafuna - unasema hupendi kazi yako (kwa nini usiiache ufanye yako kama ni mwalimu rudi shule ufundishe)
 
Back
Top Bottom