Elections 2015 Magufuli: Nikifanikiwa kuwa rais nitakulinda kwelikweli Diallo

Anthony Dialo ni mwekezaji namba moja kanda ya ziwa. Anamiliki vitega uchumi vingi na ametoa ajira nyingi kwa Watanzania kama alivyo Bakhressa, Manji, Dewji nk. Kubwa zaidi, ni Anthony Dialo pekee ndiye aliyejitolea kumtetea na kumlinda Magufuli kwenye kampeni zake pale alipoamua kurusha moja kwa moja matangazo ya mikutano ya Magufuli.

Ningemuona mtu wa ajabu sana kama asingeliona hilo. Reginald Mengi na Rostam Aziz aliweka azma ya kutorusha taarifa za Magufuli na kumpa muda wa kutosha Lowassa.

Big up Magufuli. Mlipe fadhila anayekutendea wema. Ikiwa Dialo atadhurika, atasababisha ukosefu mkubwa wa ajira
Kwi! Kwi! Kwi! Nimekucheka kwa dharau sana !
 
Wee jamaa upo...
 
Safi sana
 
Lizaboni mbona Magufuli hajalipa fadhila kwa mtu wake diallo mpaka amefungiwa kituo chake?

[HASHTAG]#ChamaChaMakinikiaHakijawahiMwachaMtuSalama[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom