Magufuli ni muongo wa kutupwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli ni muongo wa kutupwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Precise Pangolin, Feb 14, 2012.

 1. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Huyu magufuli ambaye magamba wanamtumia kwaajili ya kampeni zao ni muongo kiasi ambacho hata walio chini yake wanasema serikali haina hela lakini anajionyesha kwenye vyombo vya habari kwamba kila mradi watafanya hata hilo daraja la kigamboni serikali haina hata cent labda hela itolewe yote na nssf nimefanya kazi nae wizara ya uvuvi ni tapeli mkariri data tu
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mwanasiasa gani ambae si muongo?
   
 3. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu unauza
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  Haya tumekusikia
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Magufuri ni too much,nitaondoa garage zilizopo pembezoni mwa barabara,wakati mpaka leo hakuna hata moja iliyo ondolewa,yeye kazi kunukuu vifungu vya sheria za barabara na kumsifu JK tu
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Haahaaa! Vita ya panzi furaha ya kunguru!
   
 7. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  du ni kweri magufuri ni tapeli. Igunga wakati wa kampeni alisema atajenga daraja la mbutu mara baada ya mgombea wa ccm kama atashinda. Mgombea wa ccm ameshinda bwana kafumu leo magufuli hataki hata kusimama igunga akiwa anakwenda kwao huko coz ya ahadi zake za uwongo
   
 8. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,967
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mhhh, kazi mnayo!
   
 9. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hamjambo! Napita tu! "I WILL BE Back".
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi anajiandaa kwenda Arumeru kwenda kuahidi uongo ili magamba washinde anatakiwa ajue Arusha siyo Igunga atapata kichapo asifikiri huko wanatumia masaburi kufikiri watu hawataki hayo mastastics yake na vilometer vya barabara na visheria vyake uchwara
   
 11. S

  Senator p JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiwa mwongo uwe una2nza kumbkumb,ss lle boya lnapenda sna cfa,hsa lnapoaanza kutaja k.m na gharama.Pia ukwa msemajsemaj lazma utasema na uwongo ambao hautakw.
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Umetumwa na nani wewe
   
 13. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 1,586
  Trophy Points: 280
  na wewe umetumwa na nani?
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Unalitaka jimbo la chato nini?!, hapo jwenye daraja la kigamboni kunauongo gani?!, mradi unatekelezwa kwa fedha ya nssf; mapovu yanakutoka kwa nini?!.
   
 15. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mmmh! Hapo mwishoni kwenye maelezo yako, panaonesha dalili ya kuwa mna bifu nae binafsi!
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kauza nyumba za serikali akawauzia na vimada vyake wewe gama unamshabikia fisadi mkubwa anatia serikali hasara sana huwa anakimbilia kwenye tv kusaini mikataba mbona na hiyo ya madini hawendi huko kwenye tv wanaenda kusainia hotelini huko ulaya ili wapate na visuti?
   
 17. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Anajua weakness ya Rais wetu- Kutaka kusifiwa, sifa za uongo ili mkono uende kinywani.. Nyerere alikuwa havishwi kilemba cha ukoko maana walimtambua kuwa he was able to differentiate issues on his own
   
 18. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  hana maana yule....magufuli ni muongo sana
   
 19. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ina maana mlikuwa hamjamjua mpaka leo!..
   
 20. mbogoshi ya boganga

  mbogoshi ya boganga Member

  #20
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka huyu jamaa mi mwanzoni niliona ni jembe kweli,lakini baada ya kutulia na kufuatilia various speech zake na kazi zake nimekuja kugundua si kiongozi anayetakiwa kuongoza watu bali ni kiongozi wa kukosoa makosa na ni kiongozi wakutumia television zaidi.KIONGOZI MZURI NI YULE ANAYESAIDIA SYTEM ILIYOPO IWE SUSTAINABLE KWA KUWAPA UWEZO WALIOPO.
   
Loading...