Magufuli, nani alikwambia watanzania wanataka Ndege? Ikianguka si watakufa wengi

Hivi nyie kipindi kile mnachora njiwa af mnaziandika AIR TANZANIA na kupost mitandaoni mlikuwa mnamaanisha nini?.. af saiv mnakuja na porojo za kifala. Tulieni iwaingie vizuri na zitanunuliwa nyingine za kutosha kama hamtaki hamieni kwenye nchi ambayo serikali haina shirika la ndege mkaendeleze unafik wenu
 
Wewe umeenda kutununulia mandege

Mandege menyewe yakianguka watu wanakufa woote yaani haponi hata mmoja.

Nani alikwambia tunataka ndege?Ndege za kwenda wapi?

We umetumia kodi zetu kununua ndege ili uwe kama Kagame?Unamuiga?Unampenda sana?Ungehamia huko tu ingetosha.Sasa umetuletea midege kama lidream liner linabea sijua watu wangapi sijua sasa likianguka si watakufa wengi sana?Mpaka tutashindwa kulia.

Nani alikuambia utununlie Mindege sasa hivi watu wanaogopa kupanda ndege maana hawajua kama na yenyewe itadondoka.

Bora hata ungewaongezea wafanyakazi mishahara wangeza kuwa na maisha ya hadhi kuliko kuishi kama omba omba?Si bora hata ungehakikisha watu wote wanosoma chuo wanapata mkopo?
i
Kwa nini ulituninilie mindege mikubwa hivi.Kwa ajili ya kupiga picha?

Si zilikuwepo fastjeti na Presishe zinachana mawingu.

We unaona ni sawa kufanya hivyo kweli?

2020 lazima tukuache katika ya njia ukishangaa kama ulivowaacha wakulima wakorosho katika ya njia.Si ulifikiri ujanja?Na hao JWTZ usifikiri watakulinda.Si unawaona wanawapa mademu zao sare wapige nazo picha bila shida?Wajeda wako Peace sana na Raia so wala usifikiri watakusikiliza ukiwaambia wawaiga watoto wazuri kama yule aliyejiselfisha na sare za Jeshi.Watakuangalia halafu wataenda zao kufanya masage

Unajua ukifa kwenye ajali ya ndege utalipwa ngapi?
Hufi kihasarahasara ujuwe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom