Magufuli, nani alikwambia watanzania wanataka Ndege? Ikianguka si watakufa wengi

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,906
Wewe umeenda kutununulia mandege

Mandege menyewe yakianguka watu wanakufa woote yaani haponi hata mmoja.

Nani alikwambia tunataka ndege?Ndege za kwenda wapi?

We umetumia kodi zetu kununua ndege ili uwe kama Kagame?Unamuiga?Unampenda sana?Ungehamia huko tu ingetosha.Sasa umetuletea midege kama lidream liner linabea sijua watu wangapi sijua sasa likianguka si watakufa wengi sana?Mpaka tutashindwa kulia.

Nani alikuambia utununlie Mindege sasa hivi watu wanaogopa kupanda ndege maana hawajua kama na yenyewe itadondoka.

Bora hata ungewaongezea wafanyakazi mishahara wangeza kuwa na maisha ya hadhi kuliko kuishi kama omba omba?Si bora hata ungehakikisha watu wote wanosoma chuo wanapata mkopo?
i
Kwa nini ulituninilie mindege mikubwa hivi.Kwa ajili ya kupiga picha?

Si zilikuwepo fastjeti na Presishe zinachana mawingu.

We unaona ni sawa kufanya hivyo kweli?

2020 lazima tukuache katika ya njia ukishangaa kama ulivowaacha wakulima wakorosho katika ya njia.Si ulifikiri ujanja?Na hao JWTZ usifikiri watakulinda.Si unawaona wanawapa mademu zao sare wapige nazo picha bila shida?Wajeda wako Peace sana na Raia so wala usifikiri watakusikiliza ukiwaambia wawaiga watoto wazuri kama yule aliyejiselfisha na sare za Jeshi.Watakuangalia halafu wataenda zao kufanya masage
 
Umeonyesha vyuma vimekukazia haswa.. hadi umeandika upupwu wa karne. Unafikiri wote tuna fikra anyau kama wewe.. kwamba hatujui faida ya usafiri huo hata kama aliota na kuzinunua?
WEWE zina faida gani kwa serikali kununua?Kulikuwa na Fastjet nad Presion si wangeachwa waendelee kutoa huduma?Kwanihio atcl imeongeza nini zaidi ya kuongeza tu mzigo wa kugahramikia shirika ambalo halina hata uwezo wa kujiendesha
 
Hawana uwezo kivipi? Na kwanini unalilia hizo kampuni?
 
Hawana uwezo kivipi? Na kwanini unalilia hizo kampuni?
kwa sababu biasahara ya ndege sio huduma ya lazima kwa serikali kulazimisha kuingia.TTCL yenyewe wameshindwa kuendesha.wanatumia kodi zetu kuendesha ndege huku mambo ya msingi kama elimu afya na uchumi haviendi.Huoni kwamba kuna uzwazwa hapo?
 
Duh!!!
Bado unaandika porojo.. vipi hujui kukingia kifua mada uliyoanzisha bila vithibitisho?
 
Ndio nyinyi mnaomshauri rais kuwa makampuni binafsi hayatakiwi Tanzania?
Dhambi hii ndio iliwafanya walifanyishe jeshi letu biashara ya korosho.

Eeeeeeeeh
Kampuni binafsi za ndege hazipo nchini?

Lazima una kiwewe cha kudandia na kuishia kuandika porojo pia.
 
Inasikitisha sana,hizi ndege zinawanyima watu amani
Usafiri wa ndege ndio usafiri salama kuliko usafiri wowote
 
WEWE zina faida gani kwa serikali kununua?Kulikuwa na Fastjet nad Presion si wangeachwa waendelee kutoa huduma?Kwanihio atcl imeongeza nini zaidi ya kuongeza tu mzigo wa kugahramikia shirika ambalo halina hata uwezo wa kujiendesha
Ukikua utaelewa nini maana ya nchi kuwa na national carrier. Umeandika mengi lakini yameonyesha ni kwa namna gani unapaswa kupewa shule ya umuhimu wa hizo ndege.
 
Umeonyesha vyuma vimekukazia haswa.. hadi umeandika upupwu wa karne. Unafikiri wote tuna fikra anyau kama wewe.. kwamba hatujui faida ya usafiri huo hata kama aliota na kuzinunua?

Kama hiyo fikra yako unaiona ya maana sana nunua na wewe ndege yako, unaanzisha biashara kwa kuuwa biashara ya mwanao nyumbani halafu unajiona mjaaaanja... fanya biashara zote sasa.
 
Kununua ndege siyo kosa bali hakikuwa kipaumbele katika nchi yetu hii, labda mtuambie mana tuna haki ya kujua matumizi ya kodi zetu, hivi hizi ndege tangu zimekuja kuna faida yeyote imepatikana ikatumika kununua madawa hospitalini au bado hospitalini hakuna madawa? au mtuambie madawa siyo muhimu bali ndege kwanza, na mtuambie kama palikuwa na shida ya usafiri wa anga kabla ya hizo ndege kuja? Au kuna faida imepatikana ikatumika katika huduma nyingine ya kusaidia jamii au kuinua uchumi kwa njia yeyote?

Binafsi nilidhani ndege zingekuja ili ku-compete na kampuni nyingine angalau watu wapate kuwa na options, kumbe zinakuja kudhoofisha makampuni mengine ili wakamate soko wawakamue vizuri watumiaji wa usafiri huo! Aaargh, acha ninywe maji.
 
Back
Top Bottom