Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,717
- 1,472
Kana Magufuli ataakaa miaka 10 naamini Zitto atalamba Uwaziri!!Tangu lini Zitto ni upinzani?
HahahahaMtoto?? Ukiwa CCM akili zinakuruka, unakuwa kama mpumbavu, yaani mtoto angetoa maoni gani
Ni nani mwenye mamlaka ya kuamua haya ni maoni na hizi ni kelele?
Kana Magufuli ataakaa miaka 10 naamini Zitto atalamba Uwaziri!!
Cocoriko mwambie Bashite amshawishi boss kubwa atangaze KOLOMIJE iwe wilaya ili uteuliwe kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kolomije. Kazi unayoifanya kwa kweli inahitaji tuzo. Jitihada zako zinaonekana, kila mahali upo, uchoki, yaani unastahili kabisa kupata ukuu wa wilaya.Sasa ulitaka aseme atateua hao wapiga kelele, kama vile hawapo wenye sifa anazotaka huko upinzani!? Huo ndio ukweli katoa... ni kama mtu useme 1 halafu uongezeeee na 1a... mlitaka kuanza kujigonga kufikiri wapiga mayowe watafikiriwa.... eeeeeh amerudia tena leo ndio hivyooooo... wao matumbo mbele na midomo mayoweeee wamepigwa msamba pwaaaa
Jisikitikie
sasa si tufute upinzani wabaki ccm tu kuna haja gani kama zitto mrema na cheyo wanaunga mkono sera za mkoloni mweusi ccm.mmerogwa nyie
Kwahiyo wabunge wa sisiemu waliobaki wote ni wapiga kelele na hawana akili, maana alisema alimteua Kitila kawasababu ana akili.
Zitto ni mwanasiasa makini kuliko unavyodhania hata kama akiteuliwa itakuwa kwa manufaa ya jimbo lake la uchaguzi na taifa kwa jumla.Nichelee kusema ni "ni bora kuishi na mchawi kuliko mnafiki"
yes, mbunge wa kigoma mjini Zitto kabwe ni mnafiki wa kutupwa katika taifa hili
Unafiki wa Zitto unanifanya niwe na mashaka na nini malengo yake katika siasa za Tanzania,
je yupo kwa maslahi ya taifa au tumbo lake
Huyu bwana yupo pande zote mbili una unaweza shindwa tambua yupo upande gani hasa usipokuwa makini
Hapo awali nilimkubali na kumheshimu sana kwa hoja nzito na msimamo mkali dhidi ya kweli kuelekea katika maendeleo
lakini hivi sasa, si siri Zitto yupo katikati anauCCM na Upinzani kidogo huku akiwaadaa wananchi wasijue wafuate nini katika zama hizi zenye mkanganyiko
Yupo upande wa dikteta mamboleo tena muda akituaminisha wananchi tumpinge dikteta huyu
lakini pia yupo pamoja na wananchi na upinzani kwa ujumla
Hii hali ni hatali sana kwa maendeleo,
Zitto kuna nafasi ya uteuzi unahitaji toka kwa mkulu ili uendelee kuneemeka na siasa za uteuzi katika nchii hii
Hizi ni dalili mbaya kwa ACT wazalendo, Haitashangaza siku za usoni tukiona Zitto Kabwe akikabiziwa kadi ya chama cha kijani maana msaliti na mnafiki hana upande wa kudumu, zaidi huangukia upabde wenye maslahi kwake
Ila unafiki mwisho wake ni mbaya, 2020 tutajua rangi yako halisi tu wala si mbali kama unavyojidanganya
Zitto tuambie wananchi tujue, Uko CCM au upinzani!