MAGUFULI NA ZANZIBAR

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,211
3,317
Wana jamii, Rais Magufuli ye ni nani kwa nchi ya zanziber kulingana na hali inayo endelea huko ya uchaguzi!?!?!

Vile vile rais PGM angekuwa ni rais wa Tanzania aliyepatikana kwa kutokea zanzibar je angekaa pembeni hivo hivo kama alivyo sema siasa za zanzibar haziingilii!?!?
6a9a14e070b9693c1f91022648a09b5b.jpg
9591d92958042fd5cb407e14ec3b895a.jpg
 
Kwa huko yeye anahusika kwenye mambo ya fyokofyoko na mengineyo ya kuombea mshiko huko kwa walami
 
Kama hujua nini maana ya muungano kaa kimya sio kwamba unaweza ingia jamiifolam ukaandika lolote.usikurupuke ndg
Kwanza ni Forum sio Folam, pili hapa watu wanatoa hoja unajibu au kuchangia kwa hoja. Kwajinsi ulivyo Reply na wewe inaonekana hujui maana ya JF.
 
Ni rais wa jamhuri ya tanzania hivyo haruhusiwi kicheria kuingilia mambo ya zanzibar kikatiba kumbuka kuna maswala ya muungano na mengine sio ya muungano. Kumbuka zanzibar wana katiba yao haiusu muungano
 
JPM ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, amiri jeshi mkuu na mtanzania kama wewe.

Kwa suala la Zanzibar, kikatiba, haruhusiwi kuingilia ispokuwa mambo ya muungano kama hilo la ulinzi.
 
Kama Rais magufuli angekuwa amezaliwa zanziber halafu ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ingehusikaje kwa hali hii ya hivi sasa zanziber!?!?
 
Back
Top Bottom