Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 3,833
- 4,060
Rais Magufuli ni kilelezo tosha kwetu raia tuache maneno na tupige kazi.
Tusikae kulalamika kwa viongozi tuliowachagua,badala yake tujipime pia sisi raia katika kutimiza wajibu zetu wakati wa kuchagua viongozi.