Magufuli na sheria ya wanaotesa wanyama

Na wewe nawe kwa nini isiwezekane. Nyie ndo wale wale ikitolewa sheria wa kwanza kuivunja.

Kwa nini na wewe usiwe mmoja wao wa kulinda haki za wanyama.
 
Na wewe nawe kwa nini isiwezekane. Nyie ndo wale wale ikitolewa sheria wa kwanza kuivunja.

Kwa nini na wewe usiwe mmoja wao wa kulinda haki za wanyama.
Mkuu rejea utamaduni wa mtanzania kwenye wanyama wafugwao itakuwa ngumu sana kwa sheria hii kutekelezeka
 
Tuwaulize viongozi wa Tanzania nani kawalloga wanashindwa kumpa vizara nyeti mtu kama Magufuli?
 
Mwenye Haki huufikiri uhai wa mnyama wake. Bali huruma za mtu Mwovu ni ukatili.
 
Sheria ya kuwatesa wanyama ipo siku nyingi tuu. Mfano ni kwa wale wanaoning'iniza kuku vichwa chini miguu juu kwenye baskeli inakuwaje? Ingawa mwisho wa siku ataliwa tu lakini atendewe haki hadi afikapo machinjioni! Pia umchinjapo mnyama unatakiwa utumie kifaa kikali ili usimsababishie mateso. Hii inawezekana kabisa
 
Hii kali au ndo maandlizi yakuigeuza bongo Europe/America?? kwa wenzetu ukimuacha mbwa peke yake mda mrefu ma kwenda kazini unaweza shtakiwa:doh:!
 
Itawezekana tu jamani kuna wanyama wanateswa sana,nimefika mahali punda wanateswa sana wametoka vidonda kila mahali.
 
Back
Top Bottom