Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kuzuiwa kwa TBC yetu kurusha moja kwa moja kipindi cha Bunge na badala yake kuonyeshwa usiku baada ya kazi, kumewamaliza ukawa kabisa, kwa maana hii ndiyo sehemu pekee waliyokuwa wanaitumia kujijenga kisiasa kwa kutumia mipasho, uongo na umbea ambayo ilikuwa inarushwa moja kwa moja kwenye TV zetu muda wa kazi na hii ilikuwa inaathiri sana uzalishaji ukichukulia nchi kama yetu inahitaji uzalishaji!
Sasa kama wakitaka Umaarufu Serikali ya Magufuli wetu inawaambia indirectly kwamba waende majimboni kwao huko ndiyo wakapige kelele!
UKAWA kwisha habari yao, ujanja wote mfukoni chezea Raisi PhD!