assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
unajua kwa wapenzi wa mpira wanajua, ukipandisha mzuka utaona miguu,mikono,kichwa na viungo vinacheza, tena mdadi ukizidi waweza pigwa bonge la buti
sasa hii serikali imepata mzuka, imesahau msingi mkuu wa wananchi na ziki zao.
kwanza nani yeyote aje hapa aseme tumejipanga kuanzisha viwanda ,je IPO Sera,je upo mkakati,je wananchi wanashirikishwa? kiukweli is a miracle kuwa na viwanda 2020 hili litarudishwa kwenye kampeni tena kwa design nyingine.
je utawala wa kidemokrasia tuliohubiriwa ndio huu?
kila kiongozi anafanya ili kumfurahisha mfalme,je kutakuwa na creativity kweli au business as usual kuogopa kutumbuliwa.
Tanzania tunatatizo la mfumo, ht magufuli atumbue VP kwa kuwa mfumo mbovu majibu yatakuwa yanajirudia kila SAA.
sasa Magufuli ajenge mfumo sio MTU,watu hupita mifumo hubaki.
tuache mambo ya kuteuana cjui mkuu wa nn?,mkurugenzi wa nn? Bali rais apewe jina kuteua MTU alikuwa interviewd ndani ya watu wengi ndio akapita.
katiba ya warioba ndio sukuhisho kwa 80% lakini km halitapewa uzito tukaenda na mzuka tu, we r going no where.