assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Kiukweli Magufuli kama rais wetu wala asichukie apitapo mitaa hii ya JF.Ajifunze kukubali kutokubaliana na kutofautiana hoja isilete uadui Bali ajireflect.
Sasa kwanini nimeamua kurusha huu Uzi.
Kikwete alipoanzisha mchakato Wa katiba manake ilikuwa kuimarisha taasisi Na mifumo ya uendeshaji nchi. Huwezi kumwelewa MTU anayedai anataka kuijenga Tanzania mpya halafu misingi inayozalisha majibu IPO vilevile. haiwezekani kila siku kuwa Na marungu kupiga majipu yanayoota wakati mifumo inayozalisha majipu ikovilevile.
TAKUKURU inapaswa kuwa huru,ofisi ya CAG iwe huru,polisi iwe huru etc.
Pili hatuezi kuendelea na system ya leadership alioiacha Nyerere, totally economically failed. Hivi sasa free market ndio inatawala dunia. Iweje mtu atokee badala ya kupromote free market anaharrass business owner. Kuna watu wanafunga biashara, hadi wengine kufikia kujiua tusiichukulie poa.
Tatu, Tanzania ilitoka katka mfumo wa chama kimoja muda mrefu,iweje kiongozi badala kuweka utaratibu ili wananchi wazoee mfumo huo yeye anataka mfumo wa chama kimoja halafu ukimweleza kuwa unakosea anakasirika.
Huwezi kuongoza nchi ikapata mafanikio kama tutadharau haki za binadamu, Uhuru wa bunge na mahakama,Uhuru kujieleza na kutoa maoni kiufupi uongozi unatii na kuheshimu katiba.
Tukikosolewa tusipanic bali tujirekebishe.