mansakankanmusa JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,162 794 Dec 24, 2015 #1 Kifungu cha kinga ya Rais king'olewe. Sheria za usalama barabarani zipitiwe upya.
mansakankanmusa JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,162 794 Dec 24, 2015 Thread starter #2 utahudumu kwa unyenyekevu
mansakankanmusa JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,162 794 Dec 24, 2015 Thread starter #3 barabarani patapoa
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Dec 24, 2015 #4 Wewe unaota kiondolewe??? Halafu?? Tukomae tupate katiba mpya kinyume na hapo utasubir sana
mansakankanmusa JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,162 794 Dec 24, 2015 Thread starter #5 ataipataje wkt sio Sera ya ccm
mansakankanmusa JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,162 794 Dec 24, 2015 Thread starter #6 Mwakyembe namuaminia