Magufuli na makandarasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli na makandarasi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, May 6, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Jamani mmeiona hiyo habari kwenye TBC1 nampa big up sana Dk Magufuli hawa wazungu wanadhani Tanzania ni ile ya kipindi kile cha akina MKwawa?
   
 2. T

  Teko JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Dk Magufuli anatakiwa aendelee kuwabana kwelikweli hawa wazungu,maana hawajui adha wanayopata watu wa kusini ktk kipande kile kidogo tu cha barabara.Ngoja tuone baada ya hiyo miezi 5 waliyopewa.
   
 3. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  tuhabarishe ambao hatujatazama TBC 1 kafanya nini na ha makandarasi na ni wa wapi?
   
 4. T

  Teko JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ni wale wanaotengeneza kile kipande cha barabara cha Somanga amewapa miezi mitano wawe wamemaliza,maana walitakiwa wawe wamemaliza toka januari mwaka huu,pia waliotengeneza barabara ile ya Mbagala hawajaitengeneza kwa viwango vinavyotakiwa,hivyo kakataa kuipokea.Amewaasa wasipojirekebisha hawatapata tena kazi Tanzania!!!!
   
 5. b

  bulunga JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  magufuli anapenda publicity,sio ethic kumweka mkandarasi mbele ya wana kijiji na kutaka majibu hadharani, kuna barabara chungu mzima ambazo zimejengwa chini ya kiwango na makandarasi wa kichina lakini sijawahi kumsikia akikoroma, moja ya barabara ni ile ya kutoka jimboni kwake kwenda buselesele, lakini yupo kimya ndo maana , ndo maana walimziba mdomo, naona kesha sahau sasa
   
 6. b

  bulunga JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama waziri hatakiwi kutoa ultimatum kwa contractor, hii ni sinema nyingine utashangaa kuja kusikia contractor alicheleweshewa malipo na anaidai serikali mabilioni
   
 7. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hawa makandarasi lazima wakemewe vinginevyo wanafanya kazi kwa speed ndogo na chini ya viwango. Lakini hata hawa wahandisi wetu wanapaswa kusimamia kila hatua ya ujenzi wanakuwa wapi hadi wanapokea barabara chini ya kiwango awakoromee na hao wanao zipokea
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  May 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Na huenda hiyo ndiyo itakayotokea. Si tunasikia serikali inadaiwa na wakandarasi? Huyu mkandarasi kweli haidai serikali kama wengine? Huenda Mh. amesema kisiasa tu.
   
 9. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Siasa bwana...
   
Loading...