YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Yaani hadi raha.Nimekipenda kiswahili.Ndio lugha iliyotumika kutumbua mijipu na kurudisha ma-trilioni ya pesa toka kwa mifisadi na wakwepa kodi bandarini.
Ukiona jipu linatumbuliwa ni lugha ya kiswahili tu inayotumika tofauti na kenya na Uganda ambako kajipu kidogo tu kutumbua kitaongelewa kiingereza kirefu hicho hadi ujisikie kutapika kwa sisi wenye alleji na kingereza.
Kiswahili kinafaa kuwa Lugha ya kutumbulia majipu duniani