Magufuli na chadema nani mpinzani?

Happy nation

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
679
591
Ingekuwa 2013 angesema mambo mheshimiwa rais anayoyafanya sasa ungesema ni mpinzani wa kikwete ,kila kitu kikwete kibaya ilichokifanya yeye amekirekebisha na kila kizuri alichokifanya yeye ameharibu,sasa nashindwa kuelewa alivyo anza alikuwa anaangalia mwenzake aliyoyafanya na kwenda tofauti au alidhamiria tu aonekane ni tofauti na kikwete,kiukweli ukiondoa uafrika na utanzania na chama,kilakitu ni tofauti nadhani hadi vyakula vya ikulu inapikwa tofauti,sioni ajabu wabunge wa ccm wakiungana na upinzani kwa sababu hawajui wako upande gani,
 
MAGUFULI NDO MPINZANI WA KWELI MAANA HAZI ZAKE TUNAZIONA KWANI AMEDHAMILIA KULIKOMBOA TAIFAAA TUACHEEE HAWA WENGINE WAMEBAKI NI KUTETEA MAOVU TU.

KWANZA RAISI ASINGEKUWA JASIRI HAWAJAMAA WALIKUWA WAMEJIPANGA KUKWAMISHA KASI YAKEE. LAKINI BWANA YESU NI MWAMINIFU AMEMULINDA RAISI WETU KALIBIA AHADI ZOTE KUBWAKUBWA SASA ZINATIMIAA. JPM PIGA KAZI USIOGOPE YESU YUPAMOJA NAWE.
ukisoma yelemia katika bible utakuta maandiko yanasemaa watashindana nawe lakini hawatakushindaaa. Aminaaaaaa.
 
Ingekuwa 2013 angesema mambo mheshimiwa rais anayoyafanya sasa ungesema ni mpinzani wa kikwete ,kila kitu kikwete kibaya ilichokifanya yeye amekirekebisha na kila kizuri alichokifanya yeye ameharibu,sasa nashindwa kuelewa alivyo anza alikuwa anaangalia mwenzake aliyoyafanya na kwenda tofauti au alidhamiria tu aonekane ni tofauti na kikwete,kiukweli ukiondoa uafrika na utanzania na chama,kilakitu ni tofauti nadhani hadi vyakula vya ikulu inapikwa tofauti,sioni ajabu wabunge wa ccm wakiungana na upinzani kwa sababu hawajui wako upande gani,
Haita msaidia kitu, amempinga Kikwete kiutendaji lakini bado ameendelea kufanya kazi na timu ile ile ya Kikwete, japo amejaribu kuteua wabunge kwa kutumia ila akida ya wabunge 10 aliopewa kikatiba na kuwa weka nafasi nyeti, lakini bado majority ni wale wale wa Kikwete kwa hiyo hawezi kufanya jipya. Japo sasa hivi anajaribu kuchukua watu wa upinzani kuwaweka kwenye nafasi nyeti hiyo inaonyesha kuwa japo CCM ni wengi lakini hawa wezi kwenda na utendaji wake. kwa ufupi hana imani na watu wa CCM na hiyo italeta mkanganyiko kwenye serikali yake sababu itikadi na mwelekeo ni tofauti kwa hiyo utekelezaji wa sera zake utakuwa mgumu. Atapoteza muda mwingi sana kufanya majaribio.
 
Back
Top Bottom