Magufuli msikilize Lissu ana uzoefu zaidi yako kwenye madini

Decree Holder

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,556
3,741
Jamani Lissu ameanza zamani sana kutetea rasilimali za nchi hasa madini wakati Magufuli ameanza juzi tu. Magufuli anapaswa kusikiliza ushauri wa Lissu kwa kuwa anauzoefu zaidi yake katika maswala ya madini. Soma uzi huu wa mwaka 2008 ndipo utajua kuwa Lissu ni mkongwe wakati Magufuli ni mchanga katika hii vita!
Tanzania’s ’wasted’ golden opportunity
 
Lissu namshangaa sana yeye kwenye geologia ni mbobezi, sheria ndo nyumbani, masuala ya chakula ni kitanda kwake, utawala anajua, maji anajua, uinjinia ndo kabisa ana phd, kilimo naye expert sasa najiuliza huyu jamaa atakuwa genius kama da vinci
 
LISSU AKAMSHAURI MBOWE ASIJE AKACHANGE GEA ANGANI TENA NDEGE ITAANGUKA... AMUACHE RAISI WETU ANA WASHAURI WA KUTOSHA.
 
Lissu namshangaa sana yeye kwenye geologia ni mbobezi, sheria ndo nyumbani, masuala ya chakula ni kitanda kwake, utawala anajua, maji anajua, uinjinia ndo kabisa ana phd, kilimo naye expert sasa najiuliza huyu jamaa atakuwa genius kama da vinci
Umesau na mhubiri wa dini zote ni mwenye kipaji cha ajabu
 
Jamani Lissu ameanza zamani sana kutetea rasilimali za nchi hasa madini wakati Magufuli ameanza juzi tu. Magufuli anapaswa kusikiliza ushauri wa Lissu kwa kuwa anauzoefu zaidi yake katika maswala ya madini. Soma uzi huu wa mwaka 2008 ndipo utajua kuwa Lissu ni mkongwe wakati Magufuli ni mchanga katika hii vita!
Tanzania’s ’wasted’ golden opportunity
Tatizo unamwangalia Magufuli kama mtu asiye rais, unatumia makengeza kumwangalia
 
Nawe umepokea bahasha? Kwanini hamsubiri ripoti zingine mnapenda tu kiki kila dk hadi mnaboa. Y hamuelewi kuwa anasubiri ripoti ingine?
 
Jamani Lissu ameanza zamani sana kutetea rasilimali za nchi hasa madini wakati Magufuli ameanza juzi tu. Magufuli anapaswa kusikiliza ushauri wa Lissu kwa kuwa anauzoefu zaidi yake katika maswala ya madini. Soma uzi huu wa mwaka 2008 ndipo utajua kuwa Lissu ni mkongwe wakati Magufuli ni mchanga katika hii vita!
Tanzania’s ’wasted’ golden opportunity
msikilize wewe jpm hana muda kusikiliza mtu chizi hajui hata kuongea. labda kama anaomba nafasi ya matibabu mirembe.
 
Jamani Lissu ameanza zamani sana kutetea rasilimali za nchi hasa madini wakati Magufuli ameanza juzi tu. Magufuli anapaswa kusikiliza ushauri wa Lissu kwa kuwa anauzoefu zaidi yake katika maswala ya madini. Soma uzi huu wa mwaka 2008 ndipo utajua kuwa Lissu ni mkongwe wakati Magufuli ni mchanga katika hii vita!
Tanzania’s ’wasted’ golden opportunity
Lissu kaupata wapi huo uzoefu??
 
Back
Top Bottom