jimbo lingine hilo linakaribia
pole zake nini kimesababisha mkuu?Anaendelea vema, ni vichomi vimemkamata ghafla
Anaendelea vema, ni vichomi vimemkamata ghafla
haka ka usemi umekasikia leo? Mana kila thread unakaandika!"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Kuna taarifa nimezipata hivi punde kwamba waziri wa Ujenzi Jojn Magufuli ni mgonjwa na amelazwa ICU Dodoma kwa tatizo la heart attack.Naendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi.
Apelekwe Hospital ya CCM IndiaNaomba mnijuze juu ya uvumi wa kuwa waziri wa miundombinu yupo dodoma anaumwa na kuna mdogo wangu kaniambia hilo
Wadandiaji utawajua tu.Mkumbushe ile ahadi yake kwa wanaigunga daraja la Ngaka!Bado tunaikumbuka.
kuna taarifa nimezipata hivi punde kwamba waziri wa ujenzi jojn magufuli ni mgonjwa na amelazwa icu dodoma kwa tatizo la heart attack.naendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi.