Magufuli, Makonda na Sabaya; ilikuwaje tukapata viongozi wa aina hii?

Ni heri nionekane nina roho mbaya na kauzu kuliko kufadhili binadamu, binadamu hajawahi kuwa na shukrani hata siku moja ( ni wachache mno). Magufuli alijitoa sana kwa wananchi wa Tanzania alifanya kazi usiku na mchana, aligusa kila nyanja na hakuna kipindi chochote watanzania tulichoshuhudia maendeleo ya haraka kama kipindi cha JPM. Wengi mlioshupaza shingo kutaka kuharibu legacy ya Magu wengi wenu ni wezi, majambazi, wala rushwa, wapinzani msiojielewa au watu msiolitakia mema taifa letu.

NB: mtu kama kikwete anaonekana ndio kipenzi cha wengi kwa sasa ni kwasababu alikua ni kiongozi dhaifu sana, watu walipiga sana hela hali ya kuwa yeye mwenyewe yupo bize akipiga picha na Marais wa dunia. Zaidi na zaidi Magu pia ni binadamu hivyo ana mapungufu ya kiubinadam, ila ukweli ni kwamba ukiachana na nyerere basi rais bora wa muda wote atabaki kuwa ni magufuli, ndiye rais aliyeliliwa na karibu Africa nzima pindi mauti ilipomfika .. RIP MAGUFULI MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI AMEEN ..

Kujitoa ni kwenda kujificha chato kipindi cha Corona.
 
Wakuu

Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,

Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.

Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Mwendazake hakuwa kiongozi sahihi kwa nchi yetu na alipatikana kwa udhaifu wa Kikwette kutaka kumuengua Lowassa huku akimg'ang'ania Membe. Ile chuki, utekaji, uuaji, kudharau Katiba, kutofuata Utawala wa Sheria, kupendelea kwao na wizi siyo tabia ambayo ilikuwa imampendeza Mungu

Kuja kwa Samia ni dalili kuwa nchi yetu inapaswa kuendelea na misingi ya amani, upendo, mshikamano na umoja. Vilevile kudumisha Utawala wa Sheria. Mungu hataki turudie kukurupuka kuchagua kiongozi wa nchi kama ilivyotokea kwa Mwendazake Magufuli
 
Kila zama na kitabu chake ndio maana Marekani kuna democrats (Rais Samia) na Republicans (Rais Magufuli). Aliyoyafanya JPM yalikuwa sahihi kwa wakati wake ila sasa tumuunge mkono mama yetu kipenzi (Democrat) Samia Hassan.
Unamwita huyo boya Republican?
Hujui maana ya Republican ndio sababu.
 
Uhitaji katiba kuitawala Tanzania.
Tanzanian ni miongoni mwa nchi mtu yoyote anaweza kuwa Rais na akatawala kwa vile anajisikia yeye.
Shida ni watanzania sio katiba , watanzania ni watu wa hovyo sana.
Si vyema kuwaita Watanzania kuwa watu wa ovyo sana. Lakini umesema kweli kabisa kuhusu madaraka ya Rais wa Tanzania: anaweza kufanya chochote kwa jinsi anavyojisikia. Anaweza hata kuwa kichaa hasa. Akishakamata hazina ya taifa na vyombo vya dola na kuweka watu wake kwenye nafasi zote nyeti, hakuna wa kuhoji chochote atakachosema, kuagiza au kufanya.

Tatizo kubwa ni kuwa nchi ina idadi kubwa ya wanafiki wanaoamini katika kutumia fursa ya kujikomba kwa Rais na wapambe wake hata katika mambo ya kiuendawazimu almuradi wapate maslahi kuwazidi wengine. Ile hulka ya maslahi ya pamoja kama taifa haiko au haithaminiwi. Si rahisi kuhamasisha umma wa Watanzania kuungana kupigania kwa pamoja haki za raia. No sense of national unity and common interests. Kwa wengi, Rais akionyesha dalili za uendawazimu mkubwa wao wanachoona ni fursa kuu ya kujikomba na kupata maslahi binafsi zaidi.

Wengi akili zimegota kwenye fikra za kukoga wengine kwa majumba, mavieite, bata, n.k. Wako radhi kucheza kamari ya kuwa watumwa (subservient) na kudhalilishwa (humiliated) hata na vijana wadogo kwao (wapambe wa Rais) kwa maslahi binafsi. Wananchi wachache wenye msimamo sahihi ama wanazidiwa au hawako tayari kupingana kivitendo na hao wanafiki wengi.
 
Magufuli kawa kiongoz kabla wew hujaanza kunyoa vuz.i....unauliza leo alitoka wap...magufulis character haikuanza leo..yuko hvyo toka akiwa chato mbunge na wazir..na aliendelea kuwa credited na wenye nchi na kupanda had kawa rais...wew umekaa hapo na pu.mbu zako una type huna mbele wala nyuma unauliza et alitoka wap.?...wee mk..... Nn
Mbona hivyooo kwani ukitoa hoja kumtetea mwendazake badala ya matusi inakuaje au ndio tuamini nyinyi ni wale ndege wafananao? Usitukumbushie matusi bhana!
 
Back
Top Bottom