afande pande
Member
- Oct 2, 2015
- 85
- 15
Mke wake si mwalimu jamani?ila nasikia anamzimbuaga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie zombies wa chadema you are so disgraceful. sijui hata kama unaelewa elimu aliyonayo magufuli. ni ya uzamivu (Phd) yaani kamaliza madarasa yote. miaka yote amesoma kwa kutumia lugha ya kiingereza. kama wewe si mpbavu sijui ni kitu gani! au ndio mizungu na mbinu za kutegemea usanii na miujiza ya kina gwajima.hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya ccm akiwa jukwaani aliongea kingereza ambacho sikukielewa,hebu wataalamu nisaidie "YOU WAS LEADER"
Hawa jamaa inaonekana wako tayari kulamba miguu ya wazungu. Hawajielewi.nyie zombies wa chadema you are so disgraceful. sijui hata kama unaelewa elimu aliyonayo magufuli. ni ya uzamivu (Phd) yaani kamaliza madarasa yote. miaka yote amesoma kwa kutumia lugha ya kiingereza. kama wewe si mpbavu sijui ni kitu gani! au ndio mizungu na mbinu za kutegemea usanii na miujiza ya kina gwajima.
Hakuna nchi kama hiyo duniani. Ufaransa wenyewe wanaongea kiingerezaIla ninachojua Lowassa hajui kifaransa,sasa sijui itakuwaje akienda nchi ambayo hawajui kiingereza bali wanajua kifaransa pekee
Alafu eti ni dokta pumbaaaaafu!!!
hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya ccm akiwa jukwaani aliongea kingereza ambacho sikukielewa,hebu wataalamu nisaidie "YOU WAS LEADER"
Pia amesema Mwanza inapakana na DRC
Ila ninachojua Lowassa hajui kifaransa,sasa sijui itakuwaje akienda nchi ambayo hawajui kiingereza bali wanajua kifaransa pekee
Ila ninachojua Lowassa hajui kifaransa,sasa sijui itakuwaje akienda nchi ambayo hawajui kiingereza bali wanajua kifaransa pekee
I am poritisian I don't want to talk many many words
Hakuna nchi kama hiyo duniani. Ufaransa wenyewe wanaongea kiingereza