Magufuli LiVE ITV akitoa Mikakati ya Ujenzi Barabara Nchini

John Marwa

JF-Expert Member
May 25, 2011
275
28
Mheshimiwa Magufuli yupo ITV akitoa mikakati mbalimbali ya Kujenga Barabara! Jamani Magufuli yuko smart sana anashusha vitu!
 
Selema Semonyo kimya! Hoja zimekata!
Dr. John Alcohol Magufuli yupo njema kwa dataz na mikakati..hababaishi hoja zake. Anaijua vizuri kazi aliyopewa kuisimamia.
 
Back
Top Bottom