Magufuli kwa heri, hukustahili kuwa Rais

Kunawatu akili zao zimeshikwa na watu wengine yani mange kimambi akisema ivi nae anasema ivo akisema kigogo ivi nae anasema ivi yani watu kama hao ni wengi sana wanaenda na upepo ..this is Tz kuna kauli mzee hayati Kenyatta alimwambia nyerere anaongoza .......itafuteni

"Maiti" hii kauli unaipenda sana Mkuu leo nmekujua. Wasalimie Makumbusho hapo.
 
Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.
Haikusaidii hiyo kumshambulia maiti asiweza kujitetea,alipokuwepo uliufyata.Nakushauri endelea kufanya kazi kwa nguvu,vinginevyo unahatarisha afya yako kwa kumkasirikia maiti ambae hana habari na wewe
 
Huyo alikuwa na kitu fulani sio cha kawaida ndani ya nafsi yake watu waliomjua vyema hawakutaka kukisema, hicho kitu ndio chanzo na maovu yote ambayo leo ndio yanaibuliwa.😇😇

Kwakweli nchi ilikuwa on wrong hands.

Tumshukuru Mungu kutuokoa.
Kweli kabisa mkuu , mungu mkubwa
 
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.

Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.

Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS Morogoro Mjini mpaka muda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake Mkuu wa Wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS Wilaya ya Mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa.

Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.

Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.

Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani.

Hebu ngoja nipige bia then nirudi
Hakustahili kuwa Rais basi ungegombea wewe urais ili uchaguliwe basi
 
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.

Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.

Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS Morogoro Mjini mpaka muda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake Mkuu wa Wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS Wilaya ya Mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa.

Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.

Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.

Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani.

Hebu ngoja nipige bia then nirudi 😎
Aisee
 
Tumshukuru Mungu aliona tunapoelekea ni tafran na ole wao viongozi sasa waonevu na wafujaji Mungu ameamua kuwashughulikia kisawasawa yupo macho sasa kwa viongozi
 
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.

Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.

Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS Morogoro Mjini mpaka muda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake Mkuu wa Wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS Wilaya ya Mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa.

Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.

Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.

Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani.

Hebu ngoja nipige bia then nirudi 😎
HAya sasa tuorodheshee aliyoyafanya mpaka anafariki! Kwa hiyo watoto wake hawana ruhusa ya kuajiriwa au? Hivi unajua haki za Rais na watotom wa Rais??? au unabwabwaja tu humu ndani? Hebu tuache tumlilie Nabii wetu.
 
Kila binadamu anayo namna yake ya kujifariji, wapo wengine hutukana, hulia, huenda haja ndogo, au hata kupiga kelele ilmuradi tu kupoza moyo wake kutokana na machungu yaliyomsibu, juu ya yote ni njia moja ya kuwatanabahisha wapenzi wa huyo mwendazake kwamba huyo mnayempenda alikuwa na mambo ya hovyo, alikuwa na roho mbaya na katili japo kwa nje alionekana "malaika" mtetea wanyonge aliyetaka matajiri waishi kama mashetani.🤣
Sasa wanajifariji nini haya mbona hawaelezi wao baya gani walilofanyiwa . Yaani watoto wake kuopata kazi bsi ndio imekuwa nongwa. Sema wewe baya ulilofanyiwa! Sio kulalama lalama hapa. Kama ulifoji vyeti na kutolewa kazini kwani si kosa kisheria actually ulitakiwa kuwa ndani!
 
mkuu ukiwa raisi watoto watalindwa mke wako atalindwa hupangi wewe ila ndivyo ilivyoo.

ata wewe ungekuwa raisi ingekuwa hivyoo. mfno mtoto wa raisi akatekwa na anampenda akilazimishwa mkataba lazima asaini.

cha msingi tuangalie mambo makubwa kama ya lisu. kuzuia account za mbowe ila haya madogo sio deal.
 
Mungu Mkali...
IMG_20210401_220345.jpg
 
Back
Top Bottom