UBUNIFU WA UKAWA ZERO
Leo baada ya mgombea wa CCM Dr Magufuli kupiga pushapu huko mkoani Kagera,basi jamaa wa ukawa wooote wamepaniki hata kulala wanashindwa,kutwa leo wanatumia muda wao kupost vitu visivyo na maana kwa lengo la kum-dis MAGUFULI NA CCM,jaman huyu ndo alivyo,ni kiongozi mchapakazi,ukipaniki ya kupiga pushapu,sasa je ya kuendesha greda?au kupanda juu ya paa kukagua ujenzi si mtakufa jaman:Mi nafikiri mumshauri mgombea wenu nae awe mbunifu japo kesho nae atoe yake,labda apige msamba hivi au aruke kichurachura!Acheni jazba,laleni!pushap wala sio ishu,ni mazoezi tu ya afya!
Ahahahaaa duh yaani unataka mzee wa watu apige msamba!!una utani mbaya sana