Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

Huyu Mzee naye anataka kujidhalilisha sasa, yaani ubadilishe billion kirahisi hivyo? Bureau de change gani inatokaa na bilioni? Asifikiri wa-TZ wote akili zao ni za ki-ccm, hayo maneno akawahadithie akina NAPE wenye akili ya sisimizi!
Kwani kipi hakiwezekani yamkini mtu huyo alikuwa anataka kupita kwenye Bureau de change zaidi ya moja. Kumbuka mtu amedakwa Tsh 1.7 bilioni.
 
Unamaanisha watumishi wa umma? Au kila mwenye acc hata makampuni? Au wafanya biashara?
Kama unauliza abt cash holding limit namaanisha kwa tawi la benki na sio mteja! Kwa mfano, ikiwa cash holding limit (at any time t) ya Tawi X ni sh. 300 Million halafu akatokea mteja/wateja wakafanya deposit inayofanya tawi liwe na total cash (say) 700 Million... basi tawi husika linatakiwa kuhamisha the excess 400 Million very soon to the Head Office/Cash Center kwa sababu wame-exceed cash holding limit.

Msipofanya hivyo, kisha wakaja wazee wa kazi wakachukua mzigo wao; Mhasibu, Meneja na Custodian hesabu hamna kazi! And that's the reason kwanini wateja wanaotaka kuchukuwa kiasi kikubwa cha pesa wanatakiwa kutoa taarifa in advance ili branch ifanye arrangements kv huwa hawakai na kiasi kikubwa cha pesa tawini!

Sent from my SM-E500F using JamiiForums mobile app
 
Wanaumbukaaa!! Magu nchi imemshnda comedy zimekuwa nying kuliko kaz, asijefikir mpaka sasa ni mbunge chato, twende kaz yetu macho na vicheko, kuongoza nch mchezo
lowasa alisema nchi inahitaji kuongozwa na mtu mwenye VISION.....mataputapu ya CCM humu JF yakawa hayaelewi
 
Dah,hakuna bureau de change pale airport unaweza kuchange kiasi kikubwa kama hicho kwa mara moja.
 
Tatizo tumeshaanza msitukia longolongo nying wakat mtaa sukar 2500, awanganye nyiny cc tunamsubr 2020

Mtu mzima uongo haupendezi, angalau kwa kuandika 2020 umejieleza jinsi roho yako inavyopata machungu.Omba Mungu ufike 2020 halafu uoneshwe rangi zote, hakuna rangi utaacha ona!
 
lowasa alisema nchi inahitaji kuongozwa na mtu mwenye VISION.....mataputapu ya CCM humu JF yakawa hayaelewi

Hahahahaha vision ya mtu asiyejua hata kama haja yake mwenyewe sasa imefika wakati wake atajuaje haja za wenzake? Wasiojielewa kweli hawahitaji kuoneshwa vidole matendo yao tu yanajionesha wazi
 
Hahahahaha vision ya mtu asiyejua hata kama haja yake mwenyewe sasa imefika wakati wake atajuaje haja za wenzake? Wasiojielewa kweli hawahitaji kuoneshwa vidole matendo yao tu yanajionesha wazi

na bahati mbaya bado hujui vision ni nini...........

badala yake umeenda kweye Gutter Politics zisizo na manufaa yoyote kwa nchi yetu

Hongera
 
Mleta uzi tusaidie kutuelewesha kiasi hicho cha fedha kinaweza kubadilishwa hapo uwanja wa ndege?
 
na bahati mbaya bado hujui vision ni nini...........

badala yake umeenda kweye Gutter Politics zisizo na manufaa yoyote kwa nchi yetu

Hongera

Kweli sijui maana ya vision, lakini nafahamu kama mtu hawezi hata kujua nini kinachompata na kinachoweza kumpata kwa katika mwili wake kwa kadiri afya yake ilivyo huyo hawezi kufikiri wala kuwa na maono nini kitawapata wananchi zaidi ya milioni arobaini kama mwili wake tu umemshinda kujua nini kinaweza kumtokea. Mathalani mtu mwenye mafua atajiandaa kwa namna itakikavyo anaptoka mbele za watu na hata mwenye tumbo la kuhara atapima atoke public au la kwa kadiri ya hali anavyojisikia. Kama hilo tu hana na kuna mtu anajua maana ya vision anaona mtu wa namna hiyo angeweza kuiletea nchi manufaa basi safari ndefu tunayo. Asante kwa kunisifia ujinga anyway!
 
sawa
 
Eeeh Mungu Baba tenda Muujiza wako Humu JF wale wote walio kurupuka kujiunga na JF watoweke Ghafla! Na waende kusiko julikana Hata insta Wasiende! Tenda muujiza wako Baba!

Yaani tumefikia wakati JF tunaanza kujadiri kitu kisicho na ushaidi wowote ule,mleta Mada analeta Story za kina Juma na Uledi story za kufikirika na Watu wamekaa mapovu yanawatoka kulijadiri hili

Na VIONGOZI WA JF mmekaa kimya kuruhusu huu uzi uendelee kuwepo na kujadiriwa kitu kisicho na Ushahidi kweli hii ndo JF au nimepotea Njia? Hatujui hilo kama nilakweli au la uongo,hatujui mazingira yalio pelekea kuongelewa hvyo na tupo hapa kuijadiri kweli

Huwa napenda kusoma post na mijadara ya kuanzia mwaka 2013 kurudi nyuma pale JF ILIKUWA JF KWELI

Kwa heshima ya JF uongozi naomba mliangalie hili kama kazi ya kumoderate hivi vitu imeshindikana tujue kuwa basi mtu anaweza post chochote anacho jisikia hata kama sio cha kweli

Facebook,instagram,snapchart,imo,eskim,badoo,pepenority please BRING BACK OUR JAMII FORUM
 
Hivi pale uwanja wa ndege Kuna duka la kubadilishia fedha kiasi cha bilioni 1.7

Hata kama lingekuwepo duka lenye uwezo huo ingawaje halipo na transaction za hela ndefu hivyo mara nyeingi hufanyika kwenye black markets za mitaani na kwa siri.Angetuambia baada ya kumkamata je walinyanganya hizo fedha na hatua kuchukuliwa dhidi yake au ni maelezo tu kama ya zile meli 65 zilizotia nanga bandari ya Dar na kushusha mzigo na kusepa bila kulipia hata seti moja kwa bandari na wadau wengine? Kwa imani yangu anaemiliki mkwanja mrefu kama huo na amepanga kuihama nchi hawezi kuwa na akili kijiko hivyo.Angekuwa ameshabadilishia hela hizo kuwa dola,kuzituma nchi anayokwenda na airport asingepita na hata senti moja zaidi ya hela ya kujilinda safarini.Kwa walio makini zaidi huondokea hata nchi jirani kuepuka kushtukiwa.Ni kusubiri tu maana hatuwezi kusema raisi ni muongo jina litajulikana tu.
 
Huyu Mzee naye anataka kujidhalilisha sasa, yaani ubadilishe billion kirahisi hivyo? Bureau de change gani inatokaa na bilioni?
Anajua anachokifanya nyie mwacheni kelele za nini?
Magufuli piga kazi tupo nyuma yako!
 
Back
Top Bottom