mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wanajamvi
Mbinu mpya za mapambano anazozitumia rais wetu ya kufuta matabaka na kuondoa dhuluma kwa wanyonge zidi ya matajiri waliojipa umungu mtu kwa kutufanya mirija. Kwa wakati uhuu jitihada zake zimeanza kuzaa matunda kwani hila zote waliokuwa wanazitumua kuhujumu viwanda ili waingize bidhaa vibovu vilivyokataliwa kwingine na kuvipaki katika mifuko mipya tayari zimejulikana na zinafanyiwa kazi.
CCM itabadilika kwa lazima kwani wafadhili wakuu waliokuwa wanawapa kiburi tayari hawatatoa tena fedha kwani hawalindwi tena na chama, kuitikia hata wabunge wanashiriki kujipatia mali kwa njia hatari kama kuingiza sembe na bidhaa iliyoisha muda wake, kwa njia hizi anazozitumia magufuri zitawafanya wana CCm wawe wema kwa waliowachagua hata Ile ya ndio mzee ishakemewa na spika ndungai, mpaka hapo bado JPM ajapewapewa mafaili ya Miradi ya chama kuwatafuta walafi. Hapa wa kuisoma number ni CCM ya walaji