Magufuli, korosho zitakuondoa Ikulu! Wacha mchezo na watu wa Kusini

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Habari

Korosho zitamuondoa magufuli ikulu, we acha afanye mchezo na watu wa kusini.

Si haki hata kidogo wanavyo fanya serikali. Ukiwa unakaa vijiweni unaweza kusema watu wananeemeka kwenye korosho kumbe ni usanii mtupu.

Hivi wanaohakiki korosho wanawaambia wakulima waonyeshe mashamba na hati za umiliki wa mashamba hayo wakishindwa kufanya hivyo korosho zinachukuliwa na serikali na hawalipwi hata shilingi moja.

Je huu sio utapeli jamani?

Hivi huko vijijini ni watanzania wangapi ambao wanahati za umiliki wa mashamba?

Magufuli usifanye mchezo katika hili, watu wa kusini sio wafanyakazi hao waliyo nyamaza kwenye ishu za mafao. Watu hao ni kiboko.

Nawaomba ndugu zangu wa kusini wakimwaga boga nyinyi mwageni ugali.

mr mkiki.
 
Back
Top Bottom