MAGUFULI, KIWIA HIGNESS na MSCHEMLI AFY ZAO ZIKOJE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAGUFULI, KIWIA HIGNESS na MSCHEMLI AFY ZAO ZIKOJE?

Discussion in 'JF Doctor' started by ntamaholo, Apr 20, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Wana bodi salam

  Highness Kiwia na Machemli wote waliokatwa mapanga na makada wanaoaminika ni wa CCM siku ya kuamkia uchaguzi, kwa mara ya mwisho walikuwa MUHIMBILI. Kwa mda sasa, hasa baada ya NASARI kushinda na Udiwani KIRUMBA kurudi CHADEMA, hakuna update zozote kuwahusu. Mwenye taarifa atujulishe.

  Pia ni huyu muuzaji wa nyumba za walipa kodi MAGUFULI, aliyechangia kwa kiasi kikubwa baadhi ya maofisa kupanga nyumba au kuishi hotelini kwa kukosa nyumba, tangu iliporipotiwa kuwa amelazwa, hata baadhi ya thread zake zimeondolewa.

  tafadhali kwa mwenye taarifa atujulishe, wanaendeleaje.

  najua, mjadala ulioshika hatam ni kutaka kuona mawaziri watano wawajibike au waziri mkuu awajibishwe kwa niaba yao. pamoja na hayo, kujua hali za waheshimiwa hao ni jambo la msingi.
   
 2. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  magufuli kasharuhusiwa.
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280

  nashukuru kwa taarifa mkuu. na hao wengine?
   
 4. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,024
  Likes Received: 2,646
  Trophy Points: 280
  Jamani hii thread hapa sio mahali pake.
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  kumbe wapi mkuu? kujua hali za waheshimiwa si JF Doctors watatusaidia? nani mwingine atatujulisha kama siyo madakatari wetu walio member wa JF?
   
Loading...