singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Inanikumbusha shule, Head master kama hayupo shuleni basi wanafunzi tulikuwa tunafurahia sana kwani waalimu wa kawaida wanakuwa wapole siku hiyo. Nathani JMP akiondoka kwenda nnje ya nchi nathani mawaziri watakwenda kwenye mishemishe zao.Siku akisafiri nje ya nchi watu mbona watafurahi maana amewakalia kooni
hiyo ni sayansi ya wapi iliyohitimisha kua mgonjwa hawezi kusafiri na ndege; hivi wale wagonjwa wanaokwenda india kutibiwa huwa wanapanda ungo?Hivi ulikiacha kupanda helokopta au ndege kwa sababu una ugonjwa wa moyo utajisifia ???
mkuu achana nao hao bavicha wameshakunywa virobahiyo ni sayansi ya wapi iliyohitimisha kua mgonjwa hawezi kusafiri na ndege; hivi wale wagonjwa wanaokwenda india kutibiwa huwa wanapanda ungo?
No relation between heart problems and taking a flight!!!!!!!!hiyo ni sayansi ya wapi iliyohitimisha kua mgonjwa hawezi kusafiri na ndege; hivi wale wagonjwa wanaokwenda india kutibiwa huwa wanapanda ungo?
Zanzibar na dodomahiyo ya kutoka njee ya dar mara mbili naomba kujua alenda wapi na wapi
Simple calculation;
1. 365/70 = 5. kwa mwaka mmoja atapanda ndege mara 5+, hiyo ni minimum approximation
5 X 5yrs = 25. Atapanda ndege mara 25+, kwa kipindi cha kwanza cha uongozi wake (5yrs)
2. 365/70 x 2 = 10. Atatoka nje ya Dar mara 10+, kwa muda wa mwaka mmoja
10 x 5yrs = 50. Atatoka nje ya Dar mara 50+, kwa kipindi cha miaka mi5 ya mwanzo ktk uongozi.
NB: idadi hiyo inaonesha ni makadirio ya chini ya kutoka nje ya Dar pamoja na Kupanda ndege; Aongeze bidii na maarifa kama itakuwa njema sana kutosafiri
Hivi ulikiacha kupanda helokopta au ndege kwa sababu una ugonjwa wa moyo utajisifia ???
Hivi ulikiacha kupanda helokopta au ndege kwa sababu una ugonjwa wa moyo utajisifia ???