Magufuli kashindwa kushughulikia wahamiaji haramu?

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
897
3,427
Baada ya siku 100 za Magufuli wahamiaji haramu wanaendelea kutesa kila kona ya DSM .

Wageni bado wanafanya kazi bila vibali.

Wageni bado wanaishi bila residence permit.

Taarifa kila leo zinapelekwa kwa idara ya uhamiaji ila ni chache sana zinazofanyiwa kazi kinachofanyika haswa haswa ni maafsa uhamiaji kwenda eneo lenye wahamiaji haramu na kuchukua pesa. Kwa hiyo ukitoa taarifa ni kama unawapa mchongo wa pesa.

Waziri wa mambo ya ndani sijui ili swala analishughulikia vipi. Sijawai kumskia akilipa uzito ili suala.

Rais Magufuli ili swala limekushinda?

Tunapoteza pesa nyingi sana kwa awa watu . Mimi napofanyia kazi kuna wageni zaidi ya 35 ambao wangechukua vibali serikali ingepata zaidi ya million 100, imagine nchi nzima tunapoteza kiasi gani ?

Pamoja na yote awa watu mishahara aikatwi kodi maana wanapewa mikononi na hawapo kwenye system ya mshahara so tra wanadanganywa.

Magufuli tunaamini unaweza kudeal na ili swala kama ulivyoweza kudeal na mambo yaliyoonekana hayawezekani.

Tunaomba utumbue ili jipu idara ya uhamiaji inanuka rushwa.
 
Tatizo ni Waziri Kitwanga sio mfuatiliaji kabisa aeleweki ata priority zake ataanza na wauza unga kesho unakuta kaibukia majambaz pale Magu alikula hasara.
 
Jamani, tumpe muda mkuu wa nchi, sio kila kitu tuhuma, serekalini wapo wachache kuliko hata hao wanao waongoza, tuwaache kwnza watafute nafasi ya kukaa vizur ili wahudumu, basi angalau tuwape miaka 3, tutawatathmini tu baadae.
 
Muhudumu leta nyingine.....huyu anatuzingua na wahamiaji wake....akawazoe yeye mwenyewe....leta kimpumu weita
 
Baada ya siku 100 za Magufuli wahamiaji haramu wanaendelea kutesa kila kona ya DSM .

Wageni bado wanafanya kazi bila vibali.

Wageni bado wanaishi bila residence permit.

Taarifa kila leo zinapelekwa kwa idara ya uhamiaji ila ni chache sana zinazofanyiwa kazi kinachofanyika haswa haswa ni maafsa uhamiaji kwenda eneo lenye wahamiaji haramu na kuchukua pesa. Kwa hiyo ukitoa taarifa ni kama unawapa mchongo wa pesa.

Waziri wa mambo ya ndani sijui ili swala analishughulikia vipi. Sijawai kumskia akilipa uzito ili suala.

Rais Magufuli ili swala limekushinda?

Tunapoteza pesa nyingi sana kwa awa watu . Mimi napofanyia kazi kuna wageni zaidi ya 35 ambao wangechukua vibali serikali ingepata zaidi ya million 100, imagine nchi nzima tunapoteza kiasi gani ?

Pamoja na yote awa watu mishahara aikatwi kodi maana wanapewa mikononi na hawapo kwenye system ya mshahara so tra wanadanganywa.

Magufuli tunaamini unaweza kudeal na ili swala kama ulivyoweza kudeal na mambo yaliyoonekana hayawezekani.

Tunaomba utumbue ili jipu idara ya uhamiaji inanuka rushwa.

Hakuna kiongozi asiyejua namna na thamani ya kutengeneza timu, aliyewahi kufanikiwa duniani. Magufuli anachokifanya ni bora liende kwa sababu anachokifanya anakijua yeye tu wenzake wako kivingine. Wanamwonyesha wako naye ili wale. Lakini kazi yoyte inayoeleweka, yenye mizizi na mfumo wa uendelevu, inahamasisha watendaji hata na kupata support kutoka nje.

Hakuna impact, hakuna translation katika maisha ya anayetumiwa eti kukombolewa ndiyo anazidi kuteseka; hakuna chochote kinachojenga msingi wa ufanisi endelevu hata ukija kupatikana. Ni geresha za ccm tu. Wanaongea lugha hii hadharani, upande wa pili "hujuma, ulaghai na hila ndiyo nguzo yetu".

TUNAHITAJI KATIBA MPYA!!!!!!!!!!!. MAIGIZO YANATUUA HATUTAKI!. TUAKUFA HAKUNA DAWA HOSPTIALINI; TUNAKUFA KULIKO ZAMANI!!!!!!!. TUNATAKA KATIBA MPYA TUJENGE NCHI YENYE KUTHAMINI RAIA!.
 
Na siku ile alimwambia jenest Isiwe nguvu ya soda
 
Katiba ndo italeta dawa , mjenga nchi ni mwananchi mzalendo ,na viongozi waadilifu
Kuna nchi. Hazina. Katiba. Kabisa na. Maisha yao yako vizuri. Tu
 
Ninaona naongea na mtu asiyejua katiba ni nini na inanguvu gani!. It is clear kwangu hujui hata relevance ya katiba ila unapenda kuongea tu. Nchi gani duniani haina katiba? Naomba useme. Vinginevyo usiharibu mjadala kama hujui nyamaza.

Wenzako ccm wanajua nguvu ya katiba na diyo sababu haataki itengenezwe. Wewe una maslahi gani ikiwa tu hata elimu ya kujua katiba ni nini huna? Tafadhali masuala ya uswahili, uswahilini lakini siyo jF. Naomba uwe serious kama unataka kuchat na mimi.
 
Back
Top Bottom