Magufuli jiepushe kuwa too Naive: Ongoza beats usipelekwe na beats za wengine

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Magufuli unaelekea sasa kuvutika sana na kuwa too naive. Sanaa za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro zimekuacha ukichukiwa kuliko unavyojidai majukwaani. Hivyo vijembe ungewaachia akina Nape kama kweli umeamua kujitenga na sifa za CCM. Ila bahati mbaya umekuwa too naive na kubebwa na beats za wengine. Mbali na sanaa mbali mbali zilizojaza watu uwanjani pengine nikuambie tu kibaya zaidi ambacho kimefanyika...bodaboda wameteswa na kubughudhiwa ili waondoke katika maeneo yao upite.

Eti wasikuzomee, nani kakuambia ungezomewa..bahati mbaya sana ukajisifu majukwaani kwamba umeshinda. Ni wazi ulikuwa ukijua hizo sanaa. Kwa taarifa yako watu wa hiyo mikoa wana amani kuliko unavyoweza dhani..ni watu wenye furaha sana, ila dola ndio huleta fujo ili kuwapaka sura mbaya. Chuki kwa watu iliionekana ktk haya:
  1. Maeneo uliyopita yalipata umeme siku nzima.
  2. Bodaboda kufukuzwa,kuswekwa ndani siku nzima.Vijana hawakuafanya kazi.
  3. CCM kwenda kuchokoza watu huku wakiwa na number za polisi ili wakijibiwa tuu,basi wapige polisi waje na habari kuenea kwamba watu wamelipwa kukufanyia fujo.Bahati mbaya hamkufanikiwa.
  4. Magufuli hukuwahi jiuliza kwanini milango haifunguliwi..ili watu wasiondoke na kukuacha baada ya wanachokiita fiesta kuisha.
  5. Kuna mbinu nyingi za kujaza watu ktk viwanja..ila kwangu mimi nalaani sana manyanyaso yaliyofanyika.Na tambo zako.Maneno uliyoongea jimboni kwa mbowe nyamekuacha wazi sana.kwanini usingepita kwa heshima ili nawe uheshimike.Magufuli Dola ilitafuta uchokozi kila kona ili wapate ahabri ya kuichafua chadema wakakosa kabisa.Bahati mbaya propaganda zao zimekuathiri sana.Ndio maana ulipokuwa katika hiyo mikoa umeongea bila break. Bila mpangilio...ila umedanganywa na kujidanganya.Watu wa Arusha na Kilimanjaro siasa si vita.Ni dola ndio huleta fujo ili kujenga taswira mbaya. Kama huamini waulize ACT na kutia kichfuchefu kwao kote wapo huru kuendesha siasa kila kona.
 
Taarifa kwa umma. TANESCO haina tatizo la kiufundi ila haina pesa kabisa! Mabilioni yameenda CCM kumsaidia Pombe Magufuli kwenye kampeni zake. Kila shirika serekalini imetoa pesa kwa ajili ya CCM, hata mishahara haipo! Hisa za serikali TBL zimeishauzwa, na sasa hisa za NMB zinaenda kuuzwa kwa ajili ya CCM kupata pesa za kampeni! Habari ndio hiyo wala Magufuli asidanganye watanzania kwamba halijui hilo! Magufuli anatuona mazoba km wa ccm wenzake wanaosombwa kwenye trekta kwenda kwenye fiesta yake,,pale dodom alimtangaza simbachawene km mchapakazi eti alipoenda Arusha akaanza kuilalamikia TANESCO na kusahau alimsifia waziri mweny dhamana na maswala hayo..Tuma kwenye group mbalimbali ili watu wajue ukweli wasije wakafanya kosa kuirudisha CCM madarakani.
 
Mwaka wa kufa nyani......

wafanye wafanyavyo, ngalawa ishazama hiyo.
 
Shambikia huyo wa kwako ili apite!!! Unashangaza kweli! Leo ww ndo kumuonea huruma Magufuli? Kwa taarifa yako yeye ndo raisi wako wewe wa UKAWA na wa CCM. Utake usitake!
 
wewe nico acha kuongopea watu, milango ipi ilifungwa et watu wasiondoke baada ya fiesta, kwan wanamziki walitumbiza hadi saa ngapi??????

....hivi ney wa mitego na kala jeremiah etal wakiokuwa wanatumbuiza jana kwa lowasa pale sinon wale sio fiesta??? au wameacha mziki na sasa ni wavuvi

...toka lini ukawa mzungumzaji wa magufuli

....Acha hizo
 
Tanesco.....Magufuli anaogopa mwanga anataka kuingia ikulu na giza??? Never!!!
 
Pole sana brother! Najua imekuuma sana! Ndo siasa hiyo, na itauma sana Magufuli akitinga Ikulu
 
Shambikia huyo wa kwako ili apite!!! Unashangaza kweli! Leo ww ndo kumuonea huruma Magufuli? Kwa taarifa yako yeye ndo raisi wako wewe wa UKAWA na wa CCM. Utake usitake!
wewe kazi ni kushabikia sisi tunaangalia wa kuchagua...but this time ni mabadiliko tuu
 
wewe nico acha kuongopea watu, milango ipi ilifungwa et watu wasiondoke baada ya fiesta, kwan wanamziki walitumbiza hadi saa ngapi?????? ....hivi ney wa mitego na kala jeremiah etal wakiokuwa wanatumbuiza jana kwa lowasa pale sinon wale sio fiesta??? au wameacha mziki na sasa ni wavuvi ...toka lini ukawa mzungumzaji wa magufuli ....Acha hizo
si mngeacha milango wazi..muulize JK tunduma nini kilimkuta ze commedy walipotoka.
 
Magufuli unaelekea sasa kuvutika sana na kuwa too naive. Sanaa za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro zimekuacha ukichukiwa kuliko unavyojidai majukwaani. Hivyo vijembe ungewaachia akina Nape kama kweli umeamua kujitenga na sifa za CCM. Ila bahati mbaya umekuwa too naive na kubebwa na beats za wengine. Mbali na sanaa mbali mbali zilizojaza watu uwanjani pengine nikuambie tu kibaya zaidi ambacho kimefanyika...bodaboda wameteswa na kubughudhiwa ili waondoke katika maeneo yao upite.

Eti wasikuzomee, nani kakuambia ungezomewa..bahati mbaya sana ukajisifu majukwaani kwamba umeshinda. Ni wazi ulikuwa ukijua hizo sanaa. Kwa taarifa yako watu wa hiyo mikoa wana amani kuliko unavyoweza dhani..ni watu wenye furaha sana, ila dola ndio huleta fujo ili kuwapaka sura mbaya. Chuki kwa watu iliionekana ktk haya:
  1. Maeneo uliyopita yalipata umeme siku nzima.
  2. Bodaboda kufukuzwa,kuswekwa ndani siku nzima.Vijana hawakuafanya kazi.
  3. CCM kwenda kuchokoza watu huku wakiwa na number za polisi ili wakijibiwa tuu,basi wapige polisi waje na habari kuenea kwamba watu wamelipwa kukufanyia fujo.Bahati mbaya hamkufanikiwa.
  4. Magufuli hukuwahi jiuliza kwanini milango haifunguliwi..ili watu wasiondoke na kukuacha baada ya wanachokiita fiesta kuisha.
  5. Kuna mbinu nyingi za kujaza watu ktk viwanja..ila kwangu mimi nalaani sana manyanyaso yaliyofanyika.Na tambo zako.Maneno uliyoongea jimboni kwa mbowe nyamekuacha wazi sana.kwanini usingepita kwa heshima ili nawe uheshimike.Magufuli Dola ilitafuta uchokozi kila kona ili wapate ahabri ya kuichafua chadema wakakosa kabisa.Bahati mbaya propaganda zao zimekuathiri sana.Ndio maana ulipokuwa katika hiyo mikoa umeongea bila break. Bila mpangilio...ila umedanganywa na kujidanganya.Watu wa Arusha na Kilimanjaro siasa si vita.Ni dola ndio huleta fujo ili kujenga taswira mbaya. Kama huamini waulize ACT na kutia kichfuchefu kwao kote wapo huru kuendesha siasa kila kona.

Umeshaanza kuelewa namba! Asante sana watu wetu wa HAI...wembe uliotumika uchaguzi wa serikali za mitaa tugeuze upande wa pili...CHAPA UKAWA umoja usio kuwa na mwelekeo!
 
magufuli is too naive ..nadhani hata ccm wengine wanashindwa mwelewa anavyowaacha uchi..
 
unaanza km unajua unachotaka kusema...kumbe ni km kichaa aliyechorewa mlango ukutani.huwezi elewa ukawa .
 
magufuli is too naive ..nadhani hata ccm wengine wanashindwa mwelewa anavyowaacha uchi..
Au labda kuna kitu hakija kaa sawa kichwani. Tazama matukio.. Kuruka juu ya roof ya gari, Pushapu za hapa na pale , kuzungusha mikono mara 50, kucheza zembwela wakati watanzania wanataka kusikia utatuzi wa tatizo la umeme, Kuongea kinyume na utendaji wa Rais Kikwete, Kupigwa chini na Mke, Kuwaambia watanzanie waogelee kama hawana fedha za nauli na mengine kama hayo Huwa yananipa mashaka mashaka sana.
 
magufuli alionyesha problem kubwa sana nikaweza thread hapa hata kabla mbio za urais hazijaanza..KTK kuomba BUDGET YAKE IPITE ALIJIKOMBA VIBAYA SANA KWA MBOWE PALE BUNGENI..ALITAJA SANA JINA LA MBOWE NA KUJICHEKESHA KWAKE KULIKO KAWAIDA YA MWANAMUME...MBIO ZILIPOANZA NILIWEKA THREAD KWAMBA MAGUFULI NA MREMA NI AINA YA NYAPARA HAWAFAI KUWA VIONGOZI KTK NAFASI ZINAHOZHITAJI THINKER NA PATIENCE..MODS KM KAWA WAKAFUTA NA KUCHANGANYA.....magufuli kaenda Arusha na kilimanjaro badala y akuw amtu mzima kaenda tapika tuuu ..mbaya alipofika hai ndio kaongea bila break..anakimbia kivuli chake na hofu ya kijinga wanayopewana ccm km mtu wa kijiji akiw ana hela nyingi utajua hadi ktk socks kuna hela....Kilimanjaro kamnadi Mrema na sio mgombea wa ccm.Hakuwa hata na akili ya kumzidi mrema mzee wa watu mgonjwa..mrema kamwingia jamaa kajisahau na kumuuza mrema.
 
Duh..Sasa magufuli kageuka kuwa kituko ktk majukwaa....kweli mabadiliko ndio lugha.
 
Taarifa kwa umma. TANESCO haina tatizo la kiufundi ila haina pesa kabisa! Mabilioni yameenda CCM kumsaidia Pombe Magufuli kwenye kampeni zake. Kila shirika serekalini imetoa pesa kwa ajili ya CCM, hata mishahara haipo! Hisa za serikali TBL zimeishauzwa, na sasa hisa za NMB zinaenda kuuzwa kwa ajili ya CCM kupata pesa za kampeni! Habari ndio hiyo wala Magufuli asidanganye watanzania kwamba halijui hilo! Magufuli anatuona mazoba km wa ccm wenzake wanaosombwa kwenye trekta kwenda kwenye fiesta yake,,pale dodom alimtangaza simbachawene km mchapakazi eti alipoenda Arusha akaanza kuilalamikia TANESCO na kusahau alimsifia waziri mweny dhamana na maswala hayo..Tuma kwenye group mbalimbali ili watu wajue ukweli wasije wakafanya kosa kuirudisha CCM madarakani.

Miaka 54 ya Mateso ya kero mbalimbali yanatosha.Tunaiondoa CCM kwa amani na utulivu kupitia sanduku la kura.Wakitenda haki na ikaonekana amani itakuwepo.
 
Duh kwa kweli mnamuonea baba wa watu naomba mjue wamemshtukiza sana kumkabidhi bendera ya chama na kapewa kwa sababu wanakomoana alafu kumbukeni kasusiwa mbio zote naomba asamehewe maana kuna shinikizo la damu mjue
 
Itabidi ajikaze na kujifunza kutoingia ingia kila mahali na kuomba omba kila kitu akidhani atapewa karibu ya kiswahili...
 
Back
Top Bottom