Magufuli is Smarter than he Looks!

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,397
3,884
Nianze kwa kusema, the title of this thread is not necessarily a compliment!

Pili najiuliza hivi ni coincidence kwamba inakuwaje kila hali ya kisiasa inapokaribia kuwa ngumu mji huu unakuwa mgumu kukaa? Last time yule dada wa LA alipotishia maandamano ya 26/04, sherehe zikaamishiwa Dodoma na nadhani alikaa Dodoma labda wiki 2 au zaidi na ghafla ziara za mikoa ya jirani zikaanza hadi hali ilipotulia.

Kuhusu hili la CAG, obviously kuna mipango ilifanyika lakini ikavurugwa na CAG kwa kutoa kwake press release ya kwamba amewasilisha tayari ripoti Ikulu.

1065739

Ghafla imekuja safari ya Mtwara (Kanda ya Ziwa na Dodoma was a NO GO!!)....mara ghafla imegeuka safari ya Ruvuma tena ya siku TANO (mkoa mmoja Rais anautembelea kwa siku tano!!)....mara Njombe....sijui wapi panafuatia!? Nadhani barua ya John Mnyika alipokuwa anasisitiza 'Rais popote alipo' alikuwa ana acknowledge indirectly kwamba kuna mtu amekimbia majukumu yake muhimu.

Title ya uzi nimeitoa kwenye the best Television Shows of all time 'The Wire'. Uandishi wa ile show ulikuwa wa kiwango cha juu sana.

Moja ya mambo ninayowaza ni nani atamsave kwenye hili janga la kisiasa? Let's just pay close attention to the next political moves that are going to be made by both sides, kuna jambo kubwa tutajifunza.

Maadhimisho ya Muungano mwaka huu yamekaribia, je ikitokea watu wakaanza kuongelea tena habari za maandamano ya 26/04, je kuna uwezekano hii ziara ikaenda hadi mwezi Mei?
 
Ngoja nimtamfute Mwalimu wangu wa Kiingereza anichambulie tena maana ya neno ' SMARTER ' na pia aniambie huwa linatakiwa litumike kwa Binadamu wa aina gani kati ya Wanadamu wote waliopo hapa duniani.
 
Nianze kwa kusema, the title of this thread is not necessarily a compliment!

Pili najiuliza hivi ni coincidence kwamba inakuwaje kila hali ya kisiasa inapokaribia kuwa ngumu mji huu unakuwa mgumu kidogo kukaa? Last time yule dada wa LA alipotishia maandamano ya 26/04, sherehe zikaamishiwa Dodoma na nadhani alikaa Dodoma labda wiki 2 au zaidi na ghafla ziara za mikoa ya jirani zikaanza hadi hali ilipotulia.

Kuhusu hili la CAG, obviously kuna mipango ilifanyika lakini ikavurugwa na CAG kwa kutoa kwake press release ya kwamba amewasilisha tayari ripoti Ikulu.

View attachment 1065739

Ghafla imekuja safari ya Mtwara (Kanda ya Ziwa na Dodoma was a NO GO!!)....mara ghafla imegeuka safari ya Ruvuma tena ya siku TANO (mkoa mmoja Rais anautembelea kwa siku tano!!)....mara Njombe....sijui wapi panafuatia!? Nadhani barua ya John Mnyika alipokuwa anasisitiza 'Rais popote alipo' alikuwa ana acknowledge indirectly kwamba kuna mtu amekimbia majukumu yake muhimu.

Title ya uzi nimeitoa kwenye the best Television Shows of all time 'The Wire'. Uandishi wa ile show ulikuwa wa kiwango cha juu sana.

Moja ya mambo ninayowaza ni nani atamsave kwenye hili janga la kisiasa? Let's just pay close attention to the next political moves that are going to be made from both sides, kuna jambo kubwa tutajifunza.

Maadhimisho ya Muungano mwaka huu yamekaribia, je ikitokea watu wakaanza kuongelea tena habari za maandamano ya 26/04, je kuna uwezekano hii ziara ikaenda hadi mwezi Mei?
Asante lakini uliipenda title toka sehemu nyingine tofauti yenye maudhui tofauti ila hapa ukashindwa kuitendea haki... From what I know smart people (upstairs) are very intelligent... But I don't see intelligence from the figure(s) you mentioned here

Jr
 
Nakubaliana na wewe kwa assessment yako uliyotoa.
 
He looks and pretends to be smarter than he really is, that's as far as my observations concludes.

Con artists presume their victims to be less smart while in actual fact they can never know what is in their minds. As to who is smarter, it is definitely not the conniving artist!
 
His lies are very elementary. They lack sophistication.
 
Con artists presume their victims to be less smart while in actual fact they can never know what is in their minds. As to who is smarter, it is definitely not the conniving artist!
That's not according to "him", he believes he can bluff, deceive and connive the whole damn nation.
 
Kukwepa majukumu sio Usmart ninaweza kusema ni aina fulani ya Udhaifu.

Nadhani Raisi wa Baraza la Michezo na Mawaziri wake kutoka ATCL alitakiwa kusimama kidete
Sio kujifanya Mbuni aliyevaa Suti halafu anaficha kichwa huko Kusini.
 
Back
Top Bottom