Magufuli huna wa kushindana naye, umepata kura yangu

kidati

Member
Feb 2, 2013
86
95
Kutokana na mamnbo yanayoendelea hapa nchini ni wazi kuwa huna wa kushindana naye,wafuasi wako wameongezeka maradufu kwa kile kinachosemwa ukarimu wako,uzalendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako.
Sikutegemea safari ya haraka ya wale mabeberu kutoka kwao kuja kukuitika ndio maana unasemwa kuwa ni shujaa baada ya gadafi uliyetayari ikuweka rehani maisha yako kwa ajili ya ndugu zako maskini mungu akulinde.
Kichwani kwangu kuna maswali na maoni mengi ambayo ningependa kupata majibu angalau kwa swali moja tu.
1)wakati mikataba hii inasainiwa serikali ilikuwapi?
2)bunge na kamati zake ikiwemo ya madini zilikuwa wapi?
3)Takukuru na usalama wa taifa walikuwa wapi?
4)sifa na majigambo ya wabunge wa kipindi kile na sasa tofauti yake ni IPI?
5)viongozi wa chama walikuwa wapi kukemea hili?

MAONI
1)Wabunge washtakiwe kwa kile walichokifanya ili liwe funzo kwa wote wanaodhani wamekwenda bungeni kushindanisha rangi za vyama vyao
2)TAkukuru na Tiss zivunjwe na watendaji wake wafungwe
3)spika ashtakiwe
4) na sisi mashabiki maandazi tushtakiwe ili ubaki peke yako pamoja na wazalendo wenzako

Mimi ntakuwa wa mwisho kukupa kura yangu vinginevyo niwaone wabunge wakichezea jela kwa uhuni waliotufanyia
 

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,144
2,000
Tukibadilisha sheria za madini tukasema tuchukue asilimia labda 50n.k
siku akiingia mwingine akasema "Serikali haitachukua hata mia, ili kuongeza
wawekezaji nchini" NAYE ATAPIGIWA MAKOFI NA MEZA ZITAGONGWA TU..TU..TU...TU.
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
28,256
2,000
Sisi kijiji kizima cha ikungi na ilongero kura za magufuli ziko waazi ila tunachotaka Tundu lissu aozee jela.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom