Magufuli hili la NIDA nalo sio jipu?

pmkobar

Member
Feb 16, 2011
26
10
Yaani na shindwa kuelewa kabisa na Maelezo ya hapo chini ktk tangazo hili.
ba2a14cc5c6d2f7387a5ef211f05eaee.jpg
 
Tangazo lake limechelewa sana, kesi iko CMA na alishaitwa kwamba tar 14 afike CMA so anatapa tapa tu.
 
Awalipe watoto hawa wa wakulima pesa zao asubiri jipu lake lishaiva
 
Kwani hwa vijana si tulisikia walisitishiwa mikataba,, means walikuwa wafanyakazi na walikuwa wanalipwa mishahara na makato yao yalikuwa yanakatwa,, sasa nyaraka namba tatu INA ulakini, ,, ni vyema huyu DG apitie mafail ya hawa vijana maana atapata uthibitisho hko,, alafu hizi pesa za media kila kukicha nida nida,, anazipata wapi?? Au ndo hizo bill 34 allizopiga??
 
Back
Top Bottom