Elections 2015 Magufuli: Hatujaahidi kwenda mwezini, ahadi zetu zinatekelezeka

Akizungumza na watanzania kwanini wamchague yeye Dkt. Magufuli amekuwa akionekana mtu anayemaanisha kile anachokizungumza ameaahidi yafuatayo mpaka sasa:-

  • Ninao uwezo, ujasiri na maarifa ya kubadilisha mfumo wa uongozi na utendaji ili uwatumikie zaidi wananchi na uwezeshe uwajibikaji wa viongozi ambao si waadilifu. Maagizo haya yapo kwenye ilani yetu ya 2015-2020 na nimejiandaa kuyasimamia kwa dhati kabisa. Najua wapo watu wanasema Magufuli mzuri ila mfumo ni mbaya naomba niwahakikishie ndugu zangu mfumo wowote duniani huwekwa na mtu/watu na mtu/watu wanaweza kuubadilisha. Hivyo msiwe na hofu mimi ndiyo MAGUFULI mnanitambua kwa uadilifu na uchapakazi sitabadilika!

  • Nitajenga utamaduni mpya wa viongozi kuwajibika kwa matokeo ya kazi tunazowapa. Nawahakikishia sitachelewa wala kusita kuwaweka pembeni viongozi na watendaji watakaokuwa wanatuchelewesha katika kutimiza ahadi zetu kwa wananchi. Nitahakikisha tunakuwa na mpango kazi madhubuti wa kutekeleza ahadi zetu na tutakuwa tunawajulisha wananchi kila hatua ya utekelezaji.

  • Natambua ajira ni tatizo la kidunia lakini serikali yangu lazima ikabiliane nalo tena kwa ufasaha sana. Awamu yangu itakuwa ya viwanda. Ambapo serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi Tutajenga viwanda kwa usindikaji wa samaki mwambao wa bahari ya Hindi,Ziwa Victoria na Tanganyika; Tutajenga viwanda vya saruji; nyuzi,nguo na magunia; Nyama na bidhaa za ngozi; pembejeo za kilimo; kufufua viwanda vilivyokufa au kudorora na kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani na nje kuwekeza katika ujenzi wa viwanda. Kuna umuhimu pia wakutazama sheria, taratibu na kanuni zetu za ajira serikalini nitalifanya hili.

  • Tumekuwa tukipambana sana kuona tunajitegemea kibajeti mfano mwaka 2005 bajeti yetu ilikuwa inategemea misaada kwa 34% na leo bajeti yetu 2015/2016 inategemea misaada kwa 8% tu. Awamu yangu tutahakikisha tunajitegemea kamili. Natambua ili tujitegemee lazima tukusanye kodi kwa ufanisi; leo tunakusanya bilioni 900 kwa mwezi toka bilioni 175 kwa mwezi 2005 awamu yangu itakusanya mara tatu zaidi. Tutapunguza misamaha ya kodi na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ili fedha nyingi zaidi ziende kwenye miradi ya maendeleo. Tutazipitia upya tozo za kodi ili ziwe kwenye kiwango ambacho watu wengi zaidi watalipa kodi na kwa hiari. Ikiwa hivyo na serikali tukaisimamia vyema hakika Taifa hili litapaa kimaendeleo.

  • Uhakika zaidi wa mapato ndiyo unaotufanya tuseme watoto wetu watasoma bure kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne bure pamoja na kuimarisha miundombinu ya kitaaluma kama madarasa, madawati, vitabu, vyoo, na nyumba za walim pamoja na kuwalipa vizuri ili wafundishe kwa ari zaidi. Pamoja na kuboresha huduma za afya nchini ili zipatikane kwa haraka, gharama nafuu, karibu zaidi kwa uhakika na kuhakikisha upatikanaji wa madawa na vifaa tiba. Pia tutazingatia umuhimu wa kuwaendeleza watumishi wa kada ya afya na kuboresha maslahi yao na mazingira yao ya kazi.

  • Utawala wa Rais Kikwete umejenga vyuo vikuu vikubwa viwili UDOM na Nelson Mandela Arusha. Awamu yangu ilani inaelekeza serikali kujenga viwili pia mbavyo ni Chuo Kikuu Cha Kilimo na Sayansi Shirikishi cha Mwalimu J.K.Nyerere Butiama mkoani Mara na Chuo Kikuu Cha Sayansi za Madini mkoani Shinyanga. Pamoja na kukamilisha ujenzi wa chuo kikuu cha Afyana Sayansi tumizi cha Muhimbili eneo la Mloganzila nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Tutakamilisha kwani elimu ya juu ina umuhimu mkubwa sana katika maendeleo ya taifa letu. Serikali yangu pia itaendelea kuongeza bajeti ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu na kujenga hosteli za kutosha kwa wanafaunzi waliopo katika vyuo vya umma ili wasome kwa utulivu.

  • Natambua nchi yetu ya Tanzania ina utajiri mkubwa wa rasilimali. Lakini nchi kuwa tajiri kwa rasilimali sio sifa. Sifa ni kwa wananchi kuwa matajiri kutokana na rasilimali hizo kupitia mazingira mazuri yaliyowekwa na serikali ili jitihada zao za kujiendeleza ziwanufaishe zaidi. Ninawahakikishia nitaangalia upya utaratibu wa uvunaji rasilimali zetu ikibidi kupitia upya sharia zetu ili wananchi wanufaike zaidi. Pia nitahakikisha watanzania wanashiriki katika uvunaji na sio kuwa vibarua bali kama wamiliki na wawekezaji na kuona mikataba inalinufaisha taifa. Kwa kutambua rasilimali asili hizi huisha na bei zake hubadilika kila wakati tutazitumia vizuri kwa maendeleo ya wananchi hususani kujenga rasilimali watu imara katika sekta muhimu kwa ajili ya kukuza uchumi wa taifa letu kama Afya,Sayansi na Teknolojia, Gesi, mafuta, madini na Uchumi pamoja na Masuala ya ulinzi.

  • Nimetumika serikalini kwa miaka 20 bila kupewa onyo, kusimamishwa wala kufukuzwa nawahakikishia sitakuwa na mzaha wa uvumilivu na watendaji wazembe ,wabadhirifu na wanaoendekeza urasimu. Nawahakikishia nitajenga utamaduni mpya wa uwajibikaji. Kutakuwa hakuna kubebana wala kujuana. Nitaimarisha mfumo mzima wa utumishi wa umma ili kuiwezesha serikali kuwatumikia vizuri zaidi wananchi.

  • Nawaahidi utumishi uliotukuka, uadilifu na uchapakazi. Mtarajie serikali itakayokuwa inafanya maamuzi sahihi, kwa wakati sahihi na utekelezaji sahihi lakini kwa haraka. Mtarajie uongozi wa kidemokrasia lakini uwepo wa nidhamu serikalini na jamii nzima. Nitasimamia utawala wa sharia hakuna mtu atakayekuwa juu ya sheria na hakutakuwa na mzaha wala majadilano katika kufuata na kutii sheria za nchi. Nitapenda kuona serikali inachapa kazi na wananchi wanachapa kazi tu basi! Nitalinda umoja, amani na usalama wa Nchi yetu kwa nguvu zote.

  • Nitatumia maarifa yangu, uwezo wangu, vipaji vyangu vyote na kumtanguliza Mungu wakati wote kutetea maslahi ya Tanzania katika dunia ya leo kwa kuyaenzi mema yaliyofanywa na watangulizi wangu. Nitahakikisha seikali yangu wakati wote inasimamia uadilifu ili kuendelea kuijengea heshima nchi yetu kimataifa. Nitaimarisha uhusiano na nchi zingine lakini nitatumia muda wangu mwingi ndani ya nchi ili kuharakisha maendeleo ya watanzania.
MAGUFULI: MCHAPAKAZI, MUADILIFU NA MFUATILIAJI
HapaKaziTu!!!!!
 
Penye nia ipo njia. Haya yote yanawezekana kwa zaidi ya asilimia 60.
 
I trust Magufuli. Edo is a liar as there were no tangible progresses that we can prove before people which were implemented by Lowassa
 
Mwongo mkubwa,,atuambie kwanza kwa nini alinunua meli mbovu na ya zamani ya Bagamoyo ambayo haifanyi kazi na amechukua hatua gani..
 
Magufuli ni mwongo sana aliyejificha ktk kichaka cha ukali na km alvyofeli ktk wizara ya ardhi na uvuvi ndo hvo hvo ataishia kudanganya watu

LOWASA NI ZAIDI KWA UTENDAJI THAN MAGUFURI
NITAIPA UKAWA KURA YANGU ILI NIIPATE KATIBA YA WANANCHI ILIYOKATALIWA NA CCM
Msukuma mwenzangu sitakupa kura yangu cos nahtaj katiba ambayo gari uliyopanda haiitaki hata nukta
 
Magufuli hana uwezo wa kutimiza hata ahadi moja,AHADI zinazotekelezeka ni za rais EDWARD LOWASSA
 
kwa ahadi hizo kweli zinatekelezeka... sio za kumleta balali na kumtia babu seya ni za kufukirika
 
DKT.MAGUFULI: HATUJAAHIDI KWENDA MWEZINI, AHADI HIZI ZINATEKELEZEKA
Akizungumza na watanzania kwanini wamchague yeye Dkt. Magufuli amekuwa akionekana mtu anayemaanisha kile anachokizungumza ameaahidi yafuatayo mpaka sasa:-
· Ninao uwezo, ujasiri na maarifa ya kubadilisha mfumo wa uongozi na utendaji ili uwatumikie zaidi wananchi na uwezeshe uwajibikaji wa viongozi ambao si waadilifu. Maagizo haya yapo kwenye ilani yetu ya 2015-2020 na nimejiandaa kuyasimamia kwa dhati kabisa. Najua wapo watu wanasema Magufuli mzuri ila mfumo ni mbaya naomba niwahakikishie ndugu zangu mfumo wowote duniani huwekwa na mtu/watu na mtu/watu wanaweza kuubadilisha. Hivyo msiwe na hofu mimi ndiyo MAGUFULI mnanitambua kwa uadilifu na uchapakazi sitabadilika!
· Nitajenga utamaduni mpya wa viongozi kuwajibika kwa matokeo ya kazi tunazowapa. Nawahakikishia sitachelewa wala kusita kuwaweka pembeni viongozi na watendaji watakaokuwa wanatuchelewesha katika kutimiza ahadi zetu kwa wananchi. Nitahakikisha tunakuwa na mpango kazi madhubuti wa kutekeleza ahadi zetu na tutakuwa tunawajulisha wananchi kila hatua ya utekelezaji.

· Natambua ajira ni tatizo la kidunia lakini serikali yangu lazima ikabiliane nalo tena kwa ufasaha sana. Awamu yangu itakuwa ya viwanda. Ambapo serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi Tutajenga viwanda kwa usindikaji wa samaki mwambao wa bahari ya Hindi,Ziwa Victoria na Tanganyika; Tutajenga viwanda vya saruji; nyuzi,nguo na magunia; Nyama na bidhaa za ngozi; pembejeo za kilimo; kufufua viwanda vilivyokufa au kudorora na kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani na nje kuwekeza katika ujenzi wa viwanda. Kuna umuhimu pia wakutazama sheria, taratibu na kanuni zetu za ajira serikalini nitalifanya hili.

· Tumekuwa tukipambana sana kuona tunajitegemea kibajeti mfano mwaka 2005 bajeti yetu ilikuwa inategemea misaada kwa 34% na leo bajeti yetu 2015/2016 inategemea misaada kwa 8% tu. Awamu yangu tutahakikisha tunajitegemea kamili. Natambua ili tujitegemee lazima tukusanye kodi kwa ufanisi; leo tunakusanya bilioni 900 kwa mwezi toka bilioni 175 kwa mwezi 2005 awamu yangu itakusanya mara tatu zaidi. Tutapunguza misamaha ya kodi na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ili fedha nyingi zaidi ziende kwenye miradi ya maendeleo. Tutazipitia upya tozo za kodi ili ziwe kwenye kiwango ambacho watu wengi zaidi watalipa kodi na kwa hiari. Ikiwa hivyo na serikali tukaisimamia vyema hakika Taifa hili litapaa kimaendeleo.

· Uhakika zaidi wa mapato ndiyo unaotufanya tuseme watoto wetu watasoma bure kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne bure pamoja na kuimarisha miundombinu ya kitaaluma kama madarasa, madawati, vitabu, vyoo, na nyumba za walim pamoja na kuwalipa vizuri ili wafundishe kwa ari zaidi. Pamoja na kuboresha huduma za afya nchini ili zipatikane kwa haraka, gharama nafuu, karibu zaidi kwa uhakika na kuhakikisha upatikanaji wa madawa na vifaa tiba. Pia tutazingatia umuhimu wa kuwaendeleza watumishi wa kada ya afya na kuboresha maslahi yao na mazingira yao ya kazi.
· Utawala wa Rais Kikwete umejenga vyuo vikuu vikubwa viwili UDOM na Nelson Mandela Arusha. Awamu yangu ilani inaelekeza serikali kujenga viwili pia mbavyo ni Chuo Kikuu Cha Kilimo na Sayansi Shirikishi cha Mwalimu J.K.Nyerere Butiama mkoani Mara na Chuo Kikuu Cha Sayansi za Madini mkoani Shinyanga. Pamoja na kukamilisha ujenzi wa chuo kikuu cha Afyana Sayansi tumizi cha Muhimbili eneo la Mloganzila nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Tutakamilisha kwani elimu ya juu ina umuhimu mkubwa sana katika maendeleo ya taifa letu. Serikali yangu pia itaendelea kuongeza bajeti ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu na kujenga hosteli za kutosha kwa wanafaunzi waliopo katika vyuo vya umma ili wasome kwa utulivu.

· Natambua nchi yetu ya Tanzania ina utajiri mkubwa wa rasilimali. Lakini nchi kuwa tajiri kwa rasilimali sio sifa. Sifa ni kwa wananchi kuwa matajiri kutokana na rasilimali hizo kupitia mazingira mazuri yaliyowekwa na serikali ili jitihada zao za kujiendeleza ziwanufaishe zaidi. Ninawahakikishia nitaangalia upya utaratibu wa uvunaji rasilimali zetu ikibidi kupitia upya sharia zetu ili wananchi wanufaike zaidi. Pia nitahakikisha watanzania wanashiriki katika uvunaji na sio kuwa vibarua bali kama wamiliki na wawekezaji na kuona mikataba inalinufaisha taifa. Kwa kutambua rasilimali asili hizi huisha na bei zake hubadilika kila wakati tutazitumia vizuri kwa maendeleo ya wananchi hususani kujenga rasilimali watu imara katika sekta muhimu kwa ajili ya kukuza uchumi wa taifa letu kama Afya,Sayansi na Teknolojia, Gesi, mafuta, madini na Uchumi pamoja na Masuala ya ulinzi.
· Nimetumika serikalini kwa miaka 20 bila kupewa onyo, kusimamishwa wala kufukuzwa nawahakikishia sitakuwa na mzaha wala uvumilivu na watendaji wazembe ,wabadhirifu na wanaoendekeza urasimu. Nawahakikishia nitajenga utamaduni mpya wa uwajibikaji. Kutakuwa hakuna kubebana wala kujuana. Nitaimarisha mfumo mzima wa utumishi wa umma ili kuiwezesha serikali kuwatumikia vizuri zaidi wananchi.

· Nawaahidi utumishi uliotukuka, uadilifu na uchapakazi. Mtarajie serikali itakayokuwa inafanya maamuzi sahihi, kwa wakati sahihi na utekelezaji sahihi lakini kwa haraka. Mtarajie uongozi wa kidemokrasia lakini uwepo wa nidhamu serikalini na jamii nzima. Nitasimamia utawala wa sharia hakuna mtu atakayekuwa juu ya sharia na hakutakuwa na mzaha wala majadilano katika kufuata na kutii sharia za nchi. Nitapenda kuona serikali inachapa kazi na wananchi wanachapa kazitu basi! Nitalinda umoja, amani na usalama wan chi yetu kwa nguvu zote.

· Nitatumia maarifa yangu, uwezo wangu na vipaji vyangu vyote na kumtanguliza Mungu wakati wote kutetea maslahi ya Tanzania katika dunia ya leo kwa kuyaenzi mema yaliyofanywa na watangulizi wangu. Nitahakikisha seikali yangu wakati wote inasimamia uadilifu ili kuendelea kuijengea heshima nchi yetu kimataifa. Nitaimarisha uhusiano na nchi zingine lakini nitatumia muda wangu mwingi ndani ya nchi ili kuharakisha maendeleo ya watanzania.

SIASA KTK UJINGA WAKE.
unapozungumzia mfumo wa uongozi ni nadra au kamwe hauwezi kubadilishwa ndani ya CCM,kama itakuwa hivyo basi walezi wa mfumo wa ufisadi wajiandae kukosa ulaji; kitu AMBACHO HAWAWEZI KUKUBARI HATA KIDOGO. Tusubir tuone.
 
Hatudanganyiki.Huwezi kusukuma gari ukiwa ndani ya gari hilohilo.Lazima ushuke kwanza ili usukume ukiwa nje ya gari
 
Naona bado hajachoka kutudanganya.Lakini watz tukumbuke kuwa jana alisema ataanzia walikoachia watangulizi wake.CCM ni ileile.Sasa akili kichwani kwako mpiga kura.
 
Hatudanganyiki.Huwezi kusukuma gari ukiwa ndani ya gari hilohilo.Lazima ushuke kwanza ili usukume ukiwa nje ya gari

nimeipenda;
LAKINI PIA KUMBUKA KTK KULISUKUMA GARI LAZIMA DEREVA ABAKI NDAN YA GARI KTK KULIONGOZA MUELEKEO SAHIHI.

Nb:madereva wa gari la ufisadi ni walezi wa ufisadi.
 
Back
Top Bottom