Magufuli hata akifia Ikulu hakuna kitu atafanikisha, kwani akina Mubarak au Mugabe walifanikiwa nini?

Kama milioni 50 tu kwa kila kijiji zimemshinda, Hakika John Magufuli hana maajabu yoyote.

SGR haiwezi na Stieglers Gorge HP hawezi kukamilisha.

Akina Mubarak walikuwa na connections kila pande ya dunia, lakini hatima ya yote ni kuondolewa madarakani kwa nguvu ya Umma huku wakiziacha nchi zao Zikiwa zimevurugika vibaya.

Au hata Museveni, ameifanyia nini Uganda? Kinachokwenda kutokea Uganda ni kurudi kulekule walikotoka, Vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji ya halaiki.

Magufuli akikaa Ikulu milele hakuna kitu atafanikisha, Sanasana ataijenga Chato mithili ya Gbadolite ya Mobutu na atawatajirisha ndugu zake na wapambe wachache wanaomsaidia kufanikisha mambo mabaya ambayo amekwishayafanya hadi sasa.

Na zaidi, itakuwa ni kuondoka madarakani kwa aibu kama walivyoondoka wenzie akina Mubarak, Mugabe, Ben Ali, Ghadafi na Madikteta wengineo..

Inavyoonekana anapenda kujaribu kila kitu, Wacha ajaribu tumwone!
Mkuu kuna Mahala Magufuli amesema anataka kufia Ikulu?.

Nakumbuka ya Jakaya Kikwete nayo ilikuwa ivi ivi. Mara Kikwete hata itisha uchaguzi. Wapinzani wa Tanzania ni wajinga sipata kuona.

Mnafikiri Magu atakuwa kama Mbowe alikatalia kiti. Magu hawezi fia Urais kama Mbowe anavyofia kiti.

Njooni na hoja zinazojenga nchi na si hizi propaganda za kishenzi.
 
Yaani mumetumia fedha za chama kwenda kujifungia huko Zazibar kumbe mulikua mnajadili hizi propaganda za kuota ndoto za mchana namna hiii? Jiandaeni kuona mumeibiwa kula kila uchaguzi.
kwa namna hii ya uhandishi wewe hata posho inabidi upewe nusu ya wengine
 
Nani kakuambia atakaa milele...
Ten years then out
 
Mkuu kuwa mstahamilivu amebakisha miaka michache amalize.
 
Mbowe hata akifa leo ataiachia nini CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO? ACHENI UNGESE WENU KILA SIKU KUBWEKA BWEKA.

FULL STRESS chama au saccos mmepoteana duh!
FB_IMG_1607454367809.jpg
 
Yaani mumetumia fedha za chama kwenda kujifungia huko Zazibar kumbe mulikua mnajadili hizi propaganda za kuota ndoto za mchana namna hiii? Jiandaeni kuona mumeibiwa kula kila uchaguzi.
Wee Mrundi! siku zako zinahesabika nakushauri uwe hapo kigoma ili ukifuatwa uvuke kwenda kwenu haraka!
 
Kama milioni 50 tu kwa kila kijiji zimemshinda, Hakika John Magufuli hana maajabu yoyote.

SGR haiwezi na Stieglers Gorge HP hawezi kukamilisha.

Akina Mubarak walikuwa na connections kila pande ya dunia, lakini hatima ya yote ni kuondolewa madarakani kwa nguvu ya Umma huku wakiziacha nchi zao Zikiwa zimevurugika vibaya.

Au hata Museveni, ameifanyia nini Uganda? Kinachokwenda kutokea Uganda ni kurudi kulekule walikotoka, Vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji ya halaiki.

Magufuli akikaa Ikulu milele hakuna kitu atafanikisha, Sanasana ataijenga Chato mithili ya Gbadolite ya Mobutu na atawatajirisha ndugu zake na wapambe wachache wanaomsaidia kufanikisha mambo mabaya ambayo amekwishayafanya hadi sasa.

Na zaidi, itakuwa ni kuondoka madarakani kwa aibu kama walivyoondoka wenzie akina Mubarak, Mugabe, Ben Ali, Ghadafi na Madikteta wengineo..

Inavyoonekana anapenda kujaribu kila kitu, Wacha ajaribu tumwone!
Ha ha ha. Eti mwache ajaribju tumuone! Shame on you! Ajaribu na kishaweza. Hao Kina Mubarak an Gadaffi si ndio waliondolewa na watu wenye aklili finyu kama zako? Unaijua Misri wewe au unaisikia kwenye bomba? Unadhani kwa nini wanajeshi walimprotect Hosn Mubarak kwa kuwa wanajua alipoitoa nchi na alipoifikisha. Hivi hujamsikia Mh. Rais alivyosema? Amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Na amerudia mara nyingi as anajua historia zilivyo lakini nia yake ni kumuinua mtanzania basi.. Sasa Ninyi mnaoshirikiana na mabeberu, you can go to hell!
 
Mkuu kuna Mahala Magufuli amesema anataka kufia Ikulu?.

Nakumbuka ya Jakaya Kikwete nayo ilikuwa ivi ivi. Mara Kikwete hata itisha uchaguzi. Wapinzani wa Tanzania ni wajinga sipata kuona.

Mnafikiri Magu atakuwa kama Mbowe alikatalia kiti. Magu hawezi fia Urais kama Mbowe anavyofia kiti.

Njooni na hoja zinazojenga nchi na si hizi propaganda za kishenzi.
Hoja za kusifia ndio hoja?
 
Ha ha ha. Eti mwache ajaribju tumuone! Shame on you! Ajaribu na kishaweza. Hao Kina Mubarak an Gadaffi si ndio waliondolewa na watu wenye aklili finyu kama zako? Unaijua Misri wewe au unaisikia kwenye bomba? Unadhani kwa nini wanajeshi walimprotect Hosn Mubarak kwa kuwa wanajua alipoitoa nchi na alipoifikisha. Hivi hujamsikia Mh. Rais alivyosema? Amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Na amerudia mara nyingi as anajua historia zilivyo lakini nia yake ni kumuinua mtanzania basi.. Sasa Ninyi mnaoshirikiana na mabeberu, you can go to hell!
Kama nani wakati ameikuta nchi ikiwa na kila kitu yeye alikuja kuvuruga na kutafuta sifa za kijinga.
 
Kama milioni 50 tu kwa kila kijiji zimemshinda, Hakika John Magufuli hana maajabu yoyote.

SGR haiwezi na Stieglers Gorge HP hawezi kukamilisha.

Akina Mubarak walikuwa na connections kila pande ya dunia, lakini hatima ya yote ni kuondolewa madarakani kwa nguvu ya Umma huku wakiziacha nchi zao Zikiwa zimevurugika vibaya.

Au hata Museveni, ameifanyia nini Uganda? Kinachokwenda kutokea Uganda ni kurudi kulekule walikotoka, Vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji ya halaiki.

Magufuli akikaa Ikulu milele hakuna kitu atafanikisha, Sanasana ataijenga Chato mithili ya Gbadolite ya Mobutu na atawatajirisha ndugu zake na wapambe wachache wanaomsaidia kufanikisha mambo mabaya ambayo amekwishayafanya hadi sasa.

Na zaidi, itakuwa ni kuondoka madarakani kwa aibu kama walivyoondoka wenzie akina Mubarak, Mugabe, Ben Ali, Ghadafi na Madikteta wengineo.

Inavyoonekana anapenda kujaribu kila kitu, Wacha ajaribu tumwone!
Katoe hirizi zako tupate maendeleo ya magufuli uliyoyabana yakwame.
 
Ha ha ha. Eti mwache ajaribju tumuone! Shame on you! Ajaribu na kishaweza. Hao Kina Mubarak an Gadaffi si ndio waliondolewa na watu wenye aklili finyu kama zako? Unaijua Misri wewe au unaisikia kwenye bomba? Unadhani kwa nini wanajeshi walimprotect Hosn Mubarak kwa kuwa wanajua alipoitoa nchi na alipoifikisha. Hivi hujamsikia Mh. Rais alivyosema? Amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Na amerudia mara nyingi as anajua historia zilivyo lakini nia yake ni kumuinua mtanzania basi.. Sasa Ninyi mnaoshirikiana na mabeberu, you can go to hell!
Kama nani wakati ameikuta nchi ikiwa na kila kitu yeye alikuja kuvuruga na kutafuta sifa za kijinga.
yupo moyoni mwako
Kwani ni Mungu wangu au Yesu mawazo ya kijinga haya.
 
Back
Top Bottom