Magufuli hata akifia Ikulu hakuna kitu atafanikisha, kwani akina Mubarak au Mugabe walifanikiwa nini?

Kama milioni 50 tu kwa kila kijiji zimemshinda, Hakika John Magufuli hana maajabu yoyote.

SGR haiwezi na Stieglers Gorge HP hawezi kukamilisha.

Akina Mubarak walikuwa na connections kila pande ya dunia, lakini hatima ya yote ni kuondolewa madarakani kwa nguvu ya Umma huku wakiziacha nchi zao Zikiwa zimevurugika vibaya.

Au hata Museveni, ameifanyia nini Uganda? Kinachokwenda kutokea Uganda ni kurudi kulekule walikotoka, Vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji ya halaiki.

Magufuli akikaa Ikulu milele hakuna kitu atafanikisha, Sanasana ataijenga Chato mithili ya Gbadolite ya Mobutu na atawatajirisha ndugu zake na wapambe wachache wanaomsaidia kufanikisha mambo mabaya ambayo amekwishayafanya hadi sasa.

Na zaidi, itakuwa ni kuondoka madarakani kwa aibu kama walivyoondoka wenzie akina Mubarak, Mugabe, Ben Ali, Ghadafi na Madikteta wengineo..

Inavyoonekana anapenda kujaribu kila kitu, Wacha ajaribu tumwone!
Absolutely, Yes
 
Mkuu natamani upate chochote huko uliko kwa gharama zangu. Umeongea yoote ya ukweli.
 
Zipo kila dalili za Jiwe kuongezewa muda ,tayari ccm wameanza kusikika kwamba kazi kubwa aliyoifanya kuuwa upinzani ni lazima wampe zawadi na heshima ya kipekee ya kukaa madarakani hadi 2035. Ndio maana hakuna mwanaccm anayethubutu kuinua mdomo kupinga hilo. Njia pekee tuliyobakiwa nayo watanzania ni kumwomba Kikwete kujitokeza kukemea huu uhuni,kwani tunaamimi yeye ni muamini mzuri wa demokrasia.lakini vinginevyo taifa linakwenda kuxhafuliwa
 
Yaan Jiwe huyu bado tunae sana!! Mtoa mada nadhan utatangulia wwe!!
JamiiForums1789001445.jpg
 
Jiwe hata apewe miaka Mia hana anachoweza zaidi kulialia na kulalamika kama sio rais IQ 0.00001 Ni empty head tabulalasa bipolar disorder ya kutupa .
 
Swala la kukas madarakan zaid ya miaka 10 halipo, aeshimu ustarabu wetu..... Na tusikubali uo ujinga
 
Tusikubali....muda ukiisha aondoke waje wengine...km Kikwete asingeachia kiti basi huyu Magufuli asingejulikana..hivyo huenda wapo wengine km au zaidi ya Magufuli..naona wabunge (wapumbavu fulani) wameanza tena kukoka moto ili wanajisi katiba kwa kuongeza muda wa rais madarakani..Kwa pamoja watanzania tupaze sauti zetu hata kwa njia ya Mitandao hilo jambo lisifanyike
 
Kama milioni 50 tu kwa kila kijiji zimemshinda, Hakika John Magufuli hana maajabu yoyote.

SGR haiwezi na Stieglers Gorge HP hawezi kukamilisha.

Akina Mubarak walikuwa na connections kila pande ya dunia, lakini hatima ya yote ni kuondolewa madarakani kwa nguvu ya Umma huku wakiziacha nchi zao Zikiwa zimevurugika vibaya.

Au hata Museveni, ameifanyia nini Uganda? Kinachokwenda kutokea Uganda ni kurudi kulekule walikotoka, Vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji ya halaiki.

Magufuli akikaa Ikulu milele hakuna kitu atafanikisha, Sanasana ataijenga Chato mithili ya Gbadolite ya Mobutu na atawatajirisha ndugu zake na wapambe wachache wanaomsaidia kufanikisha mambo mabaya ambayo amekwishayafanya hadi sasa.

Na zaidi, itakuwa ni kuondoka madarakani kwa aibu kama walivyoondoka wenzie akina Mubarak, Mugabe, Ben Ali, Ghadafi na Madikteta wengineo..

Inavyoonekana anapenda kujaribu kila kitu, Wacha ajaribu tumwone!
Mara nyingi huwa najiuliza ni kwanini tulipambana na kupigana kufa kupona kudai Uhuru. maana yote yaliyofanywa na wakoloni ndio hayohayo yanafanywa na viongozi wetu wa Kiafrika akiwemo JIWE.
 
Back
Top Bottom