Nimefwatilia kazi za magufuli aliyejiita mtumbua majipu, nikamuona TRA, nikamuona,Bandari na makontena,nikamuoa Muhimbili......nk hapo nikasema haya ni maigizo kutokana na watu ambao amekuwa akiwashughulikia kwa takribani siku mia moja kasoro sasa.
Magufuli anachoandaa ni nafasi ya uraisi 2020 kwani ameshajua watanzania ni wavivu wa kufikiri wanapenda sanaa na ushabiki hivyo bila kujali mambo muhimu ya mifumko ya bei na ugumu wa maisha yuko busy na kina masamaki wakati baba zao kina Chenge wanazamisha bunge anajifanya masikio yanauma katia Pamba.
Moto unafukuta