Magufuli hajaanza kazi bado, akiingia awamu ya 2 tutamwona akitenda kazi.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Wakuu kwema?
Nataka kuwakumbusha kuwa Rais Magufuli hajaanza kazi rasmi, na akiingia awamu ya pili tutaona kazi yake.
Hapo ndipo ataanza kutumbua majipu rasmi.
Hapo ndipo ataanza kubana fedha.
Hapo ndipo tutaanza kutafutana.
Mimi siko upande wa team Magufuli ila kwa design ya watu ambao wanadhaniwa huenda wakasimama na Magufuli 2020 ni heri baba Jesca aendelee kututawala.
 
Upo sahihi kabisa mkuu, awamu yake ya pili ndipo tutaona MAKUCHA yake.
 
Baada ya kuvuja audio inayosema vijana wa lumumba wameamua kukaa kimya naona wameongezewa dau sasa wamekuja na speed ya hatari. Ukipitia comments na post nying , unakuta acc zile zile zinaongea pumba tu.
 
  • Kicheko
Reactions: prs
Baada ya kuvuja audio inayosema vijana wa lumumba wameamua kukaa kimya naona wameongezewa dau sasa wamekuja na speed ya hatari. Ukipitia comments na post nying , unakuta acc zile zile zinaongea pumba tu.
Mimi sio mwanaLUMUMBA FC. wazee was kuuza utu kwa buku 7. Pitia posts zangu kwenye nyuzi mbalimbali utaona.
Ila ni msema ukweli.
 
Hayo ni maani yako na unaruhusiwa kuyatoa maana yako kisheria kabisa
Wakuu kwema?
Nataka kuwakumbusha kuwa Rais Magufuli hajaanza kazi rasmi, na akiingia awamu ya pili tutaona kazi yake.
Hapo ndipo ataanza kutumbua majipu rasmi.
Hapo ndipo ataanza kubana fedha.
Hapo ndipo tutaanza kutafutana.
Mimi siko upande wa team Magufuli ila kwa design ya watu ambao wanadhaniwa huenda wakasimama na Magufuli 2020 ni heri baba Jesca aendelee kututawala.
 
Me nataka atawale angalau miaka 30 ili tuisome namba vizuri

"Kama hadi sasa huwezi kuisoma namba vizuri tafuta miwani kwani inawezekana macho yako ni mabovu!!!"

"Jero" linaitwa 500, na "Buku" linaitwa 1000. wewe bado tu huoni hizo "namba."??😁😁.
 
Back
Top Bottom